Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?
we mama hata hlo hulijui?!punguza kusoma udaku na kuskiliza redio za wafu we gamba
da kweli apunguze kusoma udaku tu
America Ina 3 branches of government .Na congress Ina power zaidi ya Raisi .obama yeye ni signature na ana uwezo wa KU issue executive order kwa vitu vichache .
Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?
Mpendwa huo ni Mgomo temporary !! Lakini wakikubaliana watarudi mbioni...Hizi habari zina ukweli kiasi gani wakuu? Kuna mtu kanitumia message eti Marekani hakuna chochote kinaendelea. Au ndiyo mwisho wa dunia wenyewe?