are you serious? 1967 war? and did they find peace?
my very personal take over this matter...hakuna jinsi au hata njia yoyote ila ya maongezi inayoweza kumaliza huu mgogoro zaidi ya vita..TUTAKE TUSITAKE...nashauri tuwachape hawa jirani zetu kisha tusogeze mpaka wetu na hawa noisy neighbours mpaka lilongwe na huko mzuzu kisha tuanze maongezi ya mpaka...YEEESSSS... israel didi it 1967 to arabs na maongezi yanayoendelea ni kurudisha mipaka ya zamani hizooo na sio tena kuutaka mji wa jerusalemu.
hawa noisy neighbours wataanza kuomba warudishiwe lilongwe na mzuzu na sio tena kuongelea ziwa letu la nyasa lenye utajiri tosha wa gesi na mafuta.