TZ VS MALAWI lawyers on dispute issue....

TZ VS MALAWI lawyers on dispute issue....

OK, i got it. nimeliona jina la jamaa zemarcopolo...ukiangalia kwenye comment yangu ambayo nimemkoti, nimediffer kabisa naye..yeye hajui mtoa mada alikuwa anamaanisha nini, amepinga sisi watz kuendelea na suluhu yaani kutafuta msuluhishi, wakati mimi nimesapoti msuluhishi awepo na kesi isiende icj, yeye hajui kama icc inahitaji watz pia wakubali jurisdiction yake ndo kesi itaendeshwa regardless of whether malawi wamekubali au la kama sisi tukikataa basi hakuna kuendelea pale icj.....where is the synonym there?
 
nimeona, asante kwa kunikumbusha, nilikuwa na quote, nikashindwa, basi ile quotation ya zemacopolo ikaanza na maandishi yangu yakawa yamefuata, sasa nilivyopost msg sikurudi kuangalia, sasaivi ndo nimeangalia na nimefuta ile quotation ya zemacoporo..thanks kunikumbusha...
 
OK, i got it. nimeliona jina la jamaa zemarcopolo...ukiangalia kwenye comment yangu ambayo nimemkoti, nimediffer kabisa naye..yeye hajui mtoa mada alikuwa anamaanisha nini, amepinga sisi watz kuendelea na suluhu yaani kutafuta msuluhishi, wakati mimi nimesapoti msuluhishi awepo na kesi isiende icj, yeye hajui kama icc inahitaji watz pia wakubali jurisdiction yake ndo kesi itaendeshwa regardless of whether malawi wamekubali au la kama sisi tukikataa basi hakuna kuendelea pale icj.....where is the synonym there?
Ubungoubungo
Sijapinga msuluhishi, nimepinga kupeleka kesi mahakamani. Maamuzi ya mahakama ni hukumu, wakati msuluhishi ni mshauri tu. Soma vizuri comments zangu.
 
Last edited by a moderator:
Ubungoubungo
Sijapinga msuluhishi, nimepinga kupeleka kesi mahakamani. Maamuzi ya mahakama ni hukumu, wakati msuluhishi ni mshauri tu. Soma vizuri comments zangu.

Wale wanaodhani kuwa tutapata haki yetu ICJ, wanajidanganya tu. Hiyo ICJ itatumika kutuvuruga zaidi. And BTW, waingereza si wameshapewa haki za kutafiti huko Ziwa Nyasa na Malawi? Ukipeleka hili suala ICJ unategemea nini in this world run by corporate multinationals? Kama unavyosema mkuu, hakuna kwenda ICJ wala nini. Tutafute suluhu wenyewe mpaka kieleweke.
 
Acheni Upoyoyo, someni!

Kuna Article Ndefu sana inayozungumzia position ya Tanzania kwenye Gazeti la Daily News la tarehe 4 na 5. Andiko hilo limeandikwa na Mwanasheria wa Sheria za Kimataifa na mtu mweledi sana katika mambo hayo. Article hiyo inadhihirisha kuwa kesi ya Tanzania ina nguvu mno! Hawa wamalawi watasambaratishwa kirahisi mno.

Sasa badala ya kukaa humu na kulalama, jaribuni kuangalia kinachoendelea kwenye swala hili. Nadhani mnaweza kuona kuwa siku za hivi karibuni wamalawi wamenywea kiasi. Kwa ufupi msomi huyo anatanabahisha kuwa;
  • Madai ya malawi hayana msingi wa Kisheria bali kisiasa kutokana na sera za rais wao wa Maisha Ngwazi Banda
  • Wamalawi wako "passionate" na "emotional" zaidi na madai yao ni "Dogmatic" kutokana na misingi ya kisheria inayotambuliwa na kuheshimika (Wameng'ang'ania kipengere kimoja tu kwenye mkataba mzima)
  • Hata huo mkataba ambao Wamalawi wanautumia, hausemi kuwa ziwa lote ni la malawi bali ulitoa nafasi kwa Wajerumani na Waingereza kukaa pamoja na kuamua kwa kuzingatia "local conditions" - kitu ambacho hakijawahi kufanywa
Tuwe waangalifu tunapozuka na malalamiko. Tuwe tunafuatilia kinachoendeelea na tujue kuwa kila kitu kuna wataalam wake wanaojua vizuri. Si ajabu mgogoro huo ni wa muda mrefu.
 
Mkuu kile kikao kilichofanyika Malawi-Mzuzu, Tanzania ikiwakilishwa na Membe na Mama Tibaijuka.... kimewavunja nguvu kabisa Wamalawi na wakajiona wapo uchi kabisa kwenye hili suala na kelele zote walizokuwa nazo zimeisha, ....................... kikao kingine kinakuja kufanyika Tanzanai, nadhani ndio wamalawi wanakuja kuvunja hoja za Tanzania lakini wakiwa na matumaini madogo sana
 
Acheni Upoyoyo, someni!

Kuna Article Ndefu sana inayozungumzia position ya Tanzania kwenye Gazeti la Daily News la tarehe 4 na 5. Andiko hilo limeandikwa na Mwanasheria wa Sheria za Kimataifa na mtu mweledi sana katika mambo hayo. Article hiyo inadhihirisha kuwa kesi ya Tanzania ina nguvu mno! Hawa wamalawi watasambaratishwa kirahisi mno.

Sasa badala ya kukaa humu na kulalama, jaribuni kuangalia kinachoendelea kwenye swala hili. Nadhani mnaweza kuona kuwa siku za hivi karibuni wamalawi wamenywea kiasi. Kwa ufupi msomi huyo anatanabahisha kuwa;
  • Madai ya malawi hayana msingi wa Kisheria bali kisiasa kutokana na sera za rais wao wa Maisha Ngwazi Banda
  • Wamalawi wako "passionate" na "emotional" zaidi na madai yao ni "Dogmatic" kutokana na misingi ya kisheria inayotambuliwa na kuheshimika (Wameng'ang'ania kipengere kimoja tu kwenye mkataba mzima)
  • Hata huo mkataba ambao Wamalawi wanautumia, hausemi kuwa ziwa lote ni la malawi bali ulitoa nafasi kwa Wajerumani na Waingereza kukaa pamoja na kuamua kwa kuzingatia "local conditions" - kitu ambacho hakijawahi kufanywa
Tuwe waangalifu tunapozuka na malalamiko. Tuwe tunafuatilia kinachoendeelea na tujue kuwa kila kitu kuna wataalam wake wanaojua vizuri. Si ajabu mgogoro huo ni wa muda mrefu.

Ni kweli mkuu, nimeweka Link ya Article hiyo, maana kuna watu wanachonga sana halafu kusoma hawataki!
 
Ni kweli mkuu, nimeweka Link ya Article hiyo, maana kuna watu wanachonga sana halafu kusoma hawataki!
Mungu ibariki Tanzania, hakuna anayechonga, hatuchongi kumlaumu mtu au kumsema mtu, tunaongea for the good of our country, kama wewe unayo mawazo fulani unatakiwa tu kuyawakilisha pengine sisi hayo hatujayaona na sio kila mtu yupo hapo tz kununua gazeti unalosema, lakini yote kwa yote, nakushukuru kwa kuweka link za hilo gazeti, tutalisoma binafsi ili nione msimamo ulikuwaje. kitu kizuri ni kwamba, sote tunaiwazia mema tz kuhusiana na ziwa nyasa hata kama tunaweza kuwa tumemkwaruza mtu au tukawa tumeenda vile wewe usivyo taka...sisi sote ni ndugu, sote tu watz.
 
Wakuu, check hii link ya Analysis iliotolewa na Hamza Johari )(LLM- International Law) - Part Time Lecturer University of DSM and a Secretary to the Council, Tanzania Civil Aviation Authority Consumer Consultative Council.

www.dailynews.co.tz/.../9183-is-anglo-german-treaty-of-1890-on-malawi- tanzania-border-lawful
and

http://www.dailynews.co.tz/.../9217-is-anglo-german-treaty-of-1890-on-malawi- tanzania-border-lawful-part-2
nimeona article yake, kama tutarely on this article, tutadondokea pua nawambia. the vienna convention anayoongelea ni ya 1969, Heligoland treaty ilikuwepo tangu lini? do you think the Vienna convention will surpass the earlier treaty which was signed by our former colonies? nioifugua kwa mategemeo makubwa lakini nilichokikuta ni copy and paste ya notes sijui za lecturer wake aliyemfundisha LLM?....nampa hongera lakin kujitahidi, lakini hakuna hata cha maana alichoongea hapo. wala hajafikiria suala la retrospectivity of the law. sheria ya mkataba ya leo inaweza kubind mikataba ambayo ilishawahi kuwa imeingiwa miaka mingi iliyopita?..
 
my very personal take over this matter...hakuna jinsi au hata njia yoyote ila ya maongezi inayoweza kumaliza huu mgogoro zaidi ya vita..TUTAKE TUSITAKE...nashauri tuwachape hawa jirani zetu kisha tusogeze mpaka wetu na hawa noisy neighbours mpaka lilongwe na huko mzuzu kisha tuanze maongezi ya mpaka...YEEESSSS... israel didi it 1967 to arabs na maongezi yanayoendelea ni kurudisha mipaka ya zamani hizooo na sio tena kuutaka mji wa jerusalemu.

hawa noisy neighbours wataanza kuomba warudishiwe lilongwe na mzuzu na sio tena kuongelea ziwa letu la nyasa lenye utajiri tosha wa gesi na mafuta.
 
MALAWI Wameshashirikisha wanasheria wao sana na bila shaka wanayo makundi ya wanasheria wanaoshughulikia suala hili la ziwa nyasa. simaanishi wanasheria wa nje, la, wanashirikisha maprof mbalimbali kutoa sababu za kisheria, sio siasa za maneno ni kwanini wao ndo wanamiliki ziwa na siyo Tanzania. SWALI: Tanzania imejiandaa vipi na kukabiliana na suala la malawi? pale kwa Attorney General, ameandaa wanasheria wake wepi au amewapa kazi wepi ambao kazi yao ni kuandika maopinion ya kufa mtu na kufanya research na kuandaa sababu ambazo Tanzania inaweza kubase juu ya ziwa nyasa?au tumelala tu wakati malawi miaka yote wako macho na ziwa lao?

ajabu ni kwamba, Tanzania mara nyingi tumelala kuhusu ziwa hili ndio maana malawi hadi leo hawaamini kama ni letu pia. wao walikuwa wanapiga kampeni ya chini kwa chini, wakifundisha watoto wao, na kupenyeza kwenye ramani za dunia, google na kila sehemu wakionyesha mpaka, na sisi tanzania tulichukulia kawaida tu wala hatukurespond chochote, sasa tayari wameshauambia umma wa dunia kuwa ziwa ni lao na dunia inaamini hivyo, kilichobaki ni kwetu sasa kuleta hoja za kisheria kuthibitisha kuwa tuna haki kwenye ziwa hili...tumekumbuka shule wakati kumekucha na mbu wameng'ata hadi wameshiba. lakini bado tunayo nafasi, zaidi ya kuwa tunazo sababu ya kuwa labda :

  1. suala hili halijawahi kutatuliwa, bado liko kwenye mgogoro tangu uhuru, hivyo tulikuwa tunaishi na mgogoro, kama mgogoro ulikuwa haujatatuliwa tangu uhuru, malawi leo hawawezi kusema sisi hatuna kitu kwasababu mgogoro haujawahi kutatuliwa.
  2. watu wa tz wamezaliwa mle na tz imekuwa ikiendesha shughuli zake mle, ndo maana tunazo hadi bandari na tumekuwa tukisafirisha vitu kwa meli zetu mle...kama tumejenga bandari za mbambabay, tumesafirisha bidhaa miaka yote hii, tumevua samaki, inakuwaje leo malawi waseme sio letu, mtu anaweza kujenga bandari, kuvua na kufanya navigation kwenye ziwa ambalo si lake?
  3. mikataba ya ukoloni ilikuwa ya ulaghai, watz hatuikubali kwasababu ilikuwa ya kilaghai.
zaidi ya yote, inabidi tusikubali jurisdiction ya ICJ, tutatue hili jambo kwa wasuluhishi tu, na si mahakamani, kwasababu tukikubali tu jurisdiciton ya ICJ basi ni compulsory kukubali na hukumu watakayo toa. mambo ya muhimu yafanyike.

  1. Serikali ya Tz iunde jopo maalumu pale kwa Attorney General kushughulikia masuala ya kimataifa tu, na wapewe kazi ya kufanya research na kuandaa points of law kutetea tz katika jambo hili.
  2. tutumie wasomi wetu vyuoni,..pale udsm kuna wanashera kama kina prof. Peter Maina etc, watumiwe vilivyo katika suala hili.
  3. kiujumla, tusijelala tena, kwasababu wamalawi hawalali hata siku moja katika jambo hili, tuwe macho kijeshi na kisheria kutetea ziwa hili. Asanteni, Mungu ibariki Tanzania. nawakilisha.

SISI WATZ ni watu wa kushindwa tu, hatujawahi kushindana na mtu yeyote wa nje tukashinda, na ukiona tumeshinda kitu basi ujue tumesaidiwa na watu wa nje. Hii ni kwa sababu hapa TZ hakuna mtu anapata nafasi kwa umahiri wake, bali ni kwa ndumba ZENYE VIUNGO VYA ALBINO, wizi, upendeleo, undugu, ujanja2, utabiri wa akina SHEIKH YAHAYA, U CCM, au utezi wa hovyo2 kama wa majaji uliofanya awamu hii ya nne ya JK. KWA hali kama hiyo tusitegemee tushinda huu mzozo, kwani wakati wa kuteua wanasheria wa kushughulikia suala hili watateuliwa vihiyo tupu ambao ni ndg za wateuzi, si unajua litakuwa na ulaji wa kufa mtu: kwenye nje ULAYA, MAREKANI, UN, AU nk kwenye vikao vya upatanishi, ulaji mtupu. NAAMINI watateuliwa wanasheria wanozungumza KIINGEREZA utafiri wananyigwa, watabaki kusema pardon, pardon, pardon ... wakati wenzao wa MALAWI wanachukua pointi. WAZALENDO tukisema mboreshe elimu, wana CCM wanasema oooooooooooh tumejenga madarasa blah2 ...
 
Watanzania wengi hatujui mgogoro wetu na Malawi ulivyo , tunadhani tukitafsiri kisheria hiyo mikataba iliyowekwa na wakoloni sisi tutaambulia kitu .
Jamani , position yetu katika huu mgogoro ni ku claim wakoloni walikosea wakati wanagawa mipaka na ndo maana Msumbiji walikuja kurekebishwa baadae na si kwamba hiyo mikataba inaonyesha sisi tuna chetu katika ziwa Nyasa.
Inabidi tutambue tatizo halisi kama kweli tunataka kupata hata inch ya hilo ziwa.
 
very well said aisee, naamini kuna siku tutafikia hapa tz tutapata uongozi ambao uwajibikaji utakuwepo, mtu akipewa nafasi akiboronga lazima aadibishwe ili liwe fundisho kwa wengine. Mungu ibariki Tanzania.
 
Watanzania wengi hatujui mgogoro wetu na Malawi ulivyo , tunadhani tukitafsiri kisheria hiyo mikataba iliyowekwa na wakoloni sisi tutaambulia kitu .
Jamani , position yetu katika huu mgogoro ni ku claim wakoloni walikosea wakati wanagawa mipaka na ndo maana Msumbiji walikuja kurekebishwa baadae na si kwamba hiyo mikataba inaonyesha sisi tuna chetu katika ziwa Nyasa.
Inabidi tutambue tatizo halisi kama kweli tunataka kupata hata inch ya hilo ziwa.
Tukienda kwa staili hii, ICJ tunaambulia patupu kabisaa. hata hivyo hayo ni mawazo yangu, wengine watatoa ya kwao na pengine ya kwangu yatakuwa na uzito mdogo na nitaeleweshwa....
 
@ Mwana wa Mungu ,
Sisi sio wa kwenda ICJ , sababu ICJ sanasana watatafsiri mkataba tu na sio kuangalia kama kuna mgongana wa kimaslahi
katika hilo ziwa , dawa ni kuchagua msuluhishi mwingine na ikishindikana huko ni kuilinda "mipaka" yetu kwa nguvu zetu zote
 
Back
Top Bottom