Tz tuko hatarini kuvamiwa..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???
 
Siku hizi kila kitu ni siasa tuu.
Hadi jeshi nalo limekuwa la kisiasa.
 
Haya malalamishi ni kwamba anasikitika kupoteza silaha ambazo angetumia kuwatwangia waandamanaji kama yakitokea ya Libya.
 
waivamie kwa lipi hasa? DOWANS au wananchi wao nao walipukiwe na mabomu....hata hizo nchi za kuvamia zinaogopa...maana wanajeshi wao wanaweza kulipuliwa na mabomu ya TZ kwa bahati mbaya.
 
wanawatisha hivyo ili msiwatoe madarakani mpaka hali itakapo kua "swari ( watakapo nunua stock nyengine ya mabomu....)
 
Ninachohofu mimi silaha hizi zinaweza kutumiwa na majambazi dhidi ya raia na mali zao.
 
Siku hizi kila kitu ni siasa tuu.
Hadi jeshi nalo limekuwa la kisiasa.

ni uozo wa hali ya juu, sijui rais wetu ni mwanajeshi na amiri jeshi wa namna gani asiyejua nini cha kumwaga na nini cha kutunza.
 
kweli kuongozwa na mapedeshee ni kazi kweli kweli. Msofe , ndama etal mpo???
 
juzi nilipokuwa namsikiliza mh. Rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???

wewe haujamuelewa, alikuwa anahalalisha dili la lala salama la kununua silha kibao ili wapate 10%.
 
Meremeta na Tangold ni Siri, nadhani hii aloisema sio siri.
 
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???

Kumbe sukusoma vizuri hotuba yake eh?
Sijaona kitu kama hiko
 
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???

unajua mshikaji ni kamanda alikuwa anajihami kwa mbinu za medani. tukivamiwa itakuwa sababu tosha ya yeye kuingia mitini na kudai tumeshindwa vita. si unajua kujiuzulu imewashinda wengi...
 
ni uozo wa hali ya juu, sijui rais wetu ni mwanajeshi na amiri jeshi wa namna gani asiyejua nini cha kumwaga na nini cha kutunza.

Yaani yule sijui alipita jeshi gani/usalama wa taifa naona hata training hakupewa,siri za baraza la usalama ye anaweka kwa media.......ni kusema tu yote anayofikiri....anatafuta sympathy kwa kutoa siri za nchi....naomba Mungu nchi hii isipate Rais dhaifu kama huyu......
 
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu ya kuhifadhia silaha za nchi, sasa wana jf swali langu ni kuwa hivi mkuu wetu si anahatarisha amani ya nchi yetu kwa kutoa siri?!!, Hivi kama kuna nchi ina nia mbaya na nchi yetu si inaweza kutumia huu mwanya na kuvamiwa???

Hii ni hatari kweli!!! Kwaani zimechukuliwa na nani?? Kuna mtu aliyepata ujasiri wa kuingia kwenye milipuko na kuchukua makombora huku mengine yanalipuka? Lakini nilisikia Mhe. 30 alisema kuwa askari wote hawakuwepo hapo kambini, yawezekana kweli silaha zilichukuliwa ki-aina!!
 
Yaani yule sijui alipita jeshi gani/usalama wa taifa naona hata training hakupewa,siri za baraza la usalama ye anaweka kwa media.......ni kusema tu yote anayofikiri....anatafuta sympathy kwa kutoa siri za nchi....naomba Mungu nchi hii isipate Rais dhaifu kama huyu......
That's the best choice , NEC declared to Tanzanians in October 2010.
 
Hivi Wadanganyika mnataka nchi ivamiwe mara ngapi? Mnawajua wazabuni wa rada helkopta za kijeshi magari ya delaya nk. Ni watu wakuamini kwa siri za nchi. Na kiuchumi hatujasalimika kila sekta imevamiwa na mibaka uchumi kwenye majoho ya 'wawekezaji'. Eti tunaofia kuvamiwa ina maana hamkushudia uvamizi wa Mbagala na juzi Gongo la Mboto how many casualities though with them they call it friendly fire nyie kalagabaho nchi ilishavamiwa kitambo
 
Hii ni hatari kweli!!! Kwaani zimechukuliwa na nani?? Kuna mtu aliyepata ujasiri wa kuingia kwenye milipuko na kuchukua makombora huku mengine yanalipuka? Lakini nilisikia Mhe. 30 alisema kuwa askari wote hawakuwepo hapo kambini, yawezekana kweli silaha zilichukuliwa ki-aina!!
Kambi kubwa hivyo iweje hakukuwa na wanajeshi mh1 ina maana huwa hailindwi usiku..
 
Back
Top Bottom