Tz tuanze hacking jamaaani

Tz tuanze hacking jamaaani

One thing with hackers, don`t talk too much, tena this publicly... Be silent, napenda offsec (watengenezaji wa backtrack na kali linux) wanavyosema... The Quieter you become, the more you are able to hear!

"The quieter you become, the more you are able to hear..." ―Ram Dass
 
?><?php '" $datahacked=mysqli_query('sp_tables',this);

While($haked=mysqli_ferchy_array(datahacked))
{
echo $hacked;
}
?>
Inaweza kukuonesha databse inzima ya baadhi ya sites

Hivi mkuu, unadhani kupata site ambayo iko vulnerable to SQL injection ni rahisi kihasi hicho?...
 
ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz just for a start
.
hahaaa simple like dats
.
just amusing
.
.
 
Hahaaa no time to trash lets go......... but kumbuken "hacking is ilegal"
 
From experience a lot of tz sites r very weak kwa security measures walizoeka against external intruders.
 
Wakuu nini maana ua kuhack maana nasikia tu tuanze kujifunza maana ya kuhack ndo kufanyaje sasa msaada tech anielezee na mimi nijue ni kufanya nini.
 
.
wickerman
jamaa wa anon ghost islamic hackers akasema
.
''HIDE YOU R AS* FIRST''
.
why
HACKING IS ILLEGAL
.
Yeah hyo ni kwel, these things mtu lazima uwe very careful, na ujue unachofanya, sio unaenda kichwa kichwa... Sasa huyu shiny c wacha tu aseme, ntaangusha website 3, hahahhaha
 
Last edited by a moderator:
From experience a lot of tz sites r very weak kwa security measures walizoeka against external intruders.

.
Kwanza hakuna faida yeyote
labda ufanye ki visa visa tuuu..........
.
.
 
nmepost jana usiku wa manane post ya site nliyohack kabaaaaang ishafungwa ndo nini sasa
 
nmepost jana usiku wa manane post ya site nliyohack kabaaaaang ishafungwa ndo nini sasa
Sasa, mkuu just because iko vulnerable to injections ndo umei-hack?
Maana nafahamu kuwa ukisearch kwenye google inurl:search.cgi, unaweza ukapata sites nyingi tu ambazo ziko vulnerable, sasa umehack vp hyo site?

6cbd.png
 
ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz just for a start

Sijaelewa malengo yako hasa, kwa nini unahimiza watu kuanza hacking? kama shida yako ni kujulikana wewe fanya mambo ya msingi tu kaka utapoteza muda wako kwa mambo yasiyo na faida kwako. Kama unataka kutuonesha how smart you are anza na JF tuone kweli uko vizuri.
 
Mkuu mbona unaelekezea Bomu kwetu?:twitch:
 
Hahahaha, najua atazeeka akijaribu!

.
Umetoa ushauri mzuri sana kiongozi pale juu
.
Ila unapo elekeza hiyo kitu jf ni masyala yenye u serious ndani yake......
.
Ukiwa na maana hawezi ku i hack hii forum achana na hiyo kitu kabisa .....
.
.
Umeiona hii 'or'1=1'
.
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom