tz burundi kushirikiana katika ujenzi wa miundo msingi

tz burundi kushirikiana katika ujenzi wa miundo msingi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
2,022
Reaction score
534
baada ya tz kueneza habari potovu dhidi ya washiriki wa eac wamerudi kushirikiana na EAC (Burundi Kenya Uganda Rwanda) .........Kinyemela.

eastandard.net/burundi-tanzania-included-in-new-eac-project/
 
Waache kutuchanganya na siasa zao si wanachi tunadaka maendeleo!!
 
Waache kutuchanganya na siasa zao si wanachi tunataka maendeleo!!
 
baada ya tz kueneza habari potovu dhidi ya washiriki wa eac wamerudi kushirikiana na EAC (Burundi Kenya Uganda Rwanda) .........Kinyemela.

eastandard.net/burundi-tanzania-included-in-new-eac-project/

Za siku nyingi Kabaridi, leo naona umetoa mpya!!! Hivi kweli Burundi ni sehemu ya COW?? Mbona PK, UK na M7 walikuwa wanaitenga Burundi na Tanzania, kwani Tanzania ina nini cha kupoteza hata hisipo shirikishwa kwenye michezo ya kuhigiza - tatizo kubwa la wenzetu hawa wanafikiri wakionyesha kuitenga Tanzania basi tuta poteza our cool na kuwapa a blank cheque wajanja hawa wafanye wapendalo i.e kutuletea a tall order hisiyo na mshiko, juzi juzi tu vitambulizo vyenu vya so-called fast track vilifungua a flood gate ya Wanyarwada na kundi lao la ng'ombe kuingia Uganda bila hodi, kesho kutwa unajua watafanya nini? Mkuu Kabaridi forewarned....
 
enhehe...oh ndio nilikuwa nashangazwa hili neno COW ina maana gani kumbe sasa nishafahamu. nashukuru mkuu mwenzangu kwa kunipevusha jambo hili. naona kikwete Kabadili nia kushiriki maendelo ya AM. kuna uvumi jokakuu alisema PK M7 walitakiwa kuweka mkataba wa ulinzi...Ajabu mkuu ni ushirikiano wa ujenzi wa reli bandari na mengine....yaonekana usumbufu wao M7 na wengine umezaa matunda kuivuta tz ngambo ya eac kuifanya kuitilia maanani sana
 
Watu wanajitahidi kurahisisha maisha ya wananchi wao kwa kufanya hizo joint project na kuondoa cross borders/businesses problems nyie mnaita michezo ya kuigiza na kuwabeza,I don't think Kama mko serious and I hope TZ haitakuwa na viongozi au majority wenye mawazo yenu la sivyo itakuwa full umaskini tuu
 
Koba kuna tatzo gan kama sisi tunapenda huo full umasikini unaosema
 
Last edited by a moderator:
watu wanajitahidi kurahisisha maisha ya wananchi wao kwa kufanya hizo joint project na kuondoa cross borders/businesses problems nyie mnaita michezo ya kuigiza na kuwabeza,i don't think kama mko serious and i hope tz haitakuwa na viongozi au majority wenye mawazo yenu la sivyo itakuwa full umaskini tuu

nasoma there comments nacheka tu.sasa eti tz ndio inafatwa na cow.jameni watu wanajaribu what they can do pamoja could be game changer kwa maisha ya poor ea residents halafu wengine they are feeling so sweet majirani wanawalai washiriki.kila siku ni ardhi , mavuta, gesi n.k wanafuata kwetu.my foot why cant you sell those things to them on your terms and make money, lots of money.or mbona tz hawatokelezei kama wengine wakafuata na wao kwa nchi jirani.tz sio crying bebi its big baby go in their countries make money there too.
 
Back
Top Bottom