Tz 10 most influential women 2012!

unatania wewe? kati ya wote hao, bora hata Mwamvita makamba. wengine ni ***** tu
 
Mbona simuoni ana tibaijuka, migiro, mama bahi
 
unatania wewe? kati ya wote hao, bora hata Mwamvita makamba. wengine ni ***** tu

Mkuu umemsahau na Dr Mwele Malecela, yani hao ndo at least unaweza kuwaita infuential as in wanafanya maamuzi yanayogusa jamii moja kwa moja
 
Influential women!!! In terms of what??? What criteria did you use as your benchmark for making the selection!!! The whole exercise is rubbish and waste of time, period!!!
 

Ombi lako naona limefanyiwa kazi,sophia simba kapachikwa baada ya mama maajar anafuatia yeye na picha yake iliyotumika ni hii...sema kingine


Sophia Simba - Mwenyekiti UWT​
 

ajitoe yeye mwenyewe?
 
Ombi lako naona limefanyiwa kazi,sophia simba kapachikwa baada ya mama maajar anafuatia yeye na picha yake iliyotumika ni hii...sema kingine


Sophia Simba - Mwenyekiti UWT​

Dah huyu mama inaonekana alikuwa mzuri sana alipokuwa kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…