Types of tenses and its parts (standard six)

Dec 8, 2013
94
70
Helo! Is you have knowledge on uses, types of tenses and its parts since you studied in standard six at primary school? Let us talk on it by answering these questions; 1.What is tenses? 2.Mention all types of tenses 3. Mention parts of each major type of tenses
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
Helo! Is you have knowledge on uses, types of tenses and its parts since you studied in standard six at primary school? Let us talk on it by answering these questions; 1.What is tenses? 2.Mention all types of tenses 3. Mention parts of each major type of tenses

bold: huyo mwl wa kiingereza yuko hivyo. Job true true (kwa hisani ya DEMBA)

Siamini kuwa Structure Approach in learning a language ndo nguzo ya kuielewa lugha hiyo. tukitumia Communicative Approach itakuwa bora zaidi. kila mmoja hapa ni shahidi, tumejua kuzitumia lugha tunazozitumia bila kujua sarufi yake kwanza. watumiaji wengi wa kiswahili hawajui mambo ya nyakati sijui na nini lkn ukikosea anakuambia hapo umekosea. the same thing applies to other native speakers of other languages.

tusiwafanye watoto waone wanasoma hesabu za lugha, tuwafanye waone wanajifunza lugha.

ktk mawasiliano, hawaulizwi hayo maswali bali hutumia hizo tenses!

Inaniuma sana jinsi tunavyowaumiza watoto wetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom