Ebwanandio
Member
- Aug 23, 2019
- 48
- 63
Asante mkuu kwa maarifa yako, yaweza kuwa hakuna tofauti kwenye engine ya meli na za magari.Ngoja nikupe jibu kuhusu meli endapo utawasha injini kama ina twin turbo ukiwasha turbo zote zinakuwa zinafanya kazi.
Kufunguka ni pale wewe unaposikia mlio kama mluzi endapo injini imefikia RPM kubwa.
Jibu sahihi ni turbo inafunguka pale unapowasha injini maana inazungushwa na hewa itokayo kwenye exhaust.
Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.Asante mkuu kwa maarifa yako, yaweza kuwa hakuna tofauti kwenye engine ya meli na za magari.
Asante mkuu nmeelewa sasa.Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.
Twin turbo zikiwekwa katika injini moja zinaweza kuwekewa tofauti ya muda katika kupeleka hewa safi kwenye chumba cha mlipuko (Combustion chamber) baada ya hewa chafu kusafishwa kuwa safi na kupozwa kwenye intercooler.
Mkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine.Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.
Twin turbo zikiwekwa katika injini moja zinaweza kuwekewa tofauti ya muda katika kupeleka hewa safi kwenye chumba cha mlipuko (Combustion chamber) baada ya hewa chafu kusafishwa kuwa safi na kupozwa kwenye intercooler.
Safi kabisaaMkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine. Ila kwenye RPM kubwa, hewa inayotoka kwenye exhaust inakuwa nyingi pia so inaweza kuzungusha turbines za turbo kwa kasi zaidi na hivyo kuongeza hewa safi na nguvu zaidi kwenye engine. Kueleza kirahisi hii concept, gari huwa linatoa moshi zaidi pindi "ukipiga resi" kuliko likiwa silence. So unapopiga resi inamaana rpm inapanda na hewa chafu inatoka kwa wingi hivyo turbines za turbo zinazunguka kwa nguvu zaidi pia na kusababisha hewa nyingi kuingia kwenye engine. Hapo ndio tunasema turbo imefunguka.
Kwahiyo kwa lugha nyepesi turbo kufunguka inategemea na RPM?Mkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine. Ila kwenye RPM kubwa, hewa inayotoka kwenye exhaust inakuwa nyingi pia so inaweza kuzungusha turbines za turbo kwa kasi zaidi na hivyo kuongeza hewa safi na nguvu zaidi kwenye engine. Kueleza kirahisi hii concept, gari huwa linatoa moshi zaidi pindi "ukipiga resi" kuliko likiwa silence. So unapopiga resi inamaana rpm inapanda na hewa chafu inatoka kwa wingi hivyo turbines za turbo zinazunguka kwa nguvu zaidi pia na kusababisha hewa nyingi kuingia kwenye engine. Hapo ndio tunasema turbo imefunguka.
Sahihi kabisa mkuu.Mkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine. Ila kwenye RPM kubwa, hewa inayotoka kwenye exhaust inakuwa nyingi pia so inaweza kuzungusha turbines za turbo kwa kasi zaidi na hivyo kuongeza hewa safi na nguvu zaidi kwenye engine. Kueleza kirahisi hii concept, gari huwa linatoa moshi zaidi pindi "ukipiga resi" kuliko likiwa silence. So unapopiga resi inamaana rpm inapanda na hewa chafu inatoka kwa wingi hivyo turbines za turbo zinazunguka kwa nguvu zaidi pia na kusababisha hewa nyingi kuingia kwenye engine. Hapo ndio tunasema turbo imefunguka.
YereuwiiiiHizo twin turbo zipo pia kwenye IST zetu?
Ni mahususi kwa diesel engine, petrol hutumia supercharger kama sikoseiHizo twin turbo zipo pia kwenye IST zetu?
Mara nyingi hutumika Kwenye diesel engine za V6 na V8 wala haujakosea mkuuNi mahususi kwa diesel engine, petrol hutumia supercharger kama sikosei
Zipo hata kwenye gari ndogo za petrol, zipo kwenye subaru legacy b4 na baadhi ya subarus nyingine zinazotumia engine ya J20.Ni mahususi kwa diesel engine, petrol hutumia supercharger kama sikosei
Habari za majukumu waungwana, kuna kitu huwa najiuliza sana kuhusu engine zenye Twin Turbo (Turbo mapacha au turbo mbili) huwa zinafanyaje kazi, nimejaribu kuchimba hadi google nmepita youtube lakini bado sijaelewa vizuri...huwa zinafunguka kutokana na nini? Ni RPM? Au ni speed? Au nini. Naomba kwa wajuzi wa kitu wanielimishe, natanguliza shukurani.
Mara nyingi hutumika Kwenye diesel engine za V6 na V8 wala haujakosea mkuu
Subaru legacy gt pia ina twin turboZipo hata kwenye gari ndogo za petrol, zipo kwenye subaru legacy b4 na baadhi ya subarus nyingine zinazotumia engine ya J20.