Alafu wewe jiangalie...wewe....embu kula wote ulete mrejesho yupo mcharo hapo?
Wana MMU.
Naombeni ushauri. Nimekuwa na date na msichana mmoja, for a serious relationship for marriage. Always tukitoka out tunakwenda na pacha wake.
Sasa jana huyo msichana ameniambia, wao ni mapacha na wanapendana sn. Hawawezi kuachana na hata baada ya ndoa, kwa hiyo itatubidi tuishi naye. Pia akasema twin wake anashauri waolewe na mtu mmoja.
Naombeni ushauri, should I go and marry both. Je kuna faida yeyote au madhara yeyote. Je naweza kuacha kuchepuka kama nikioa wote???
Duhh je wakisema mpk honeymoon. Ingawa haitakuwa hivyo.
Alafu wewe jiangalie...wewe....
Wana MMU.
Naombeni ushauri. Nimekuwa na date na msichana mmoja, for a serious relationship for marriage. Always tukitoka out tunakwenda na pacha wake.
Sasa jana huyo msichana ameniambia, wao ni mapacha na wanapendana sn. Hawawezi kuachana na hata baada ya ndoa, kwa hiyo itatubidi tuishi naye. Pia akasema twin wake anashauri waolewe na mtu mmoja.
Naombeni ushauri, should I go and marry both. Je kuna faida yeyote au madhara yeyote. Je naweza kuacha kuchepuka kama nikioa wote???
Umesahau nilikupa mia ukanunue pipi ya hamsini...ukakimbia na chenchi sio wewe....?? au alikuwa Mategemtani nimefanyaje aisee?
Mapacha wa kufanana au hawafanani?? Kama wa kufanana, HAPANA. Sababu hapa, hupati kipya zaidi ya idadi ya namba kuongezeka ktk threesome, taste itakuwa ni ile ile kwa wote!
Kama hawafanani, na wewe imani yako inaruhusu na una uhakika utakidhi mahitaji yao, sioni tatizo!
Basi mtani turudi kwenye mada..nitamtafuta huyo mwenzio kimya kimya........Matege huyo siyo mimi