TWIGA mweny hips na miguu ya bia!

TWIGA mweny hips na miguu ya bia!

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,422
Reaction score
25,338
189521_510384285701301_104931141_n.jpg
 
watu8 ntafutie habari zaidi za twiga huyu please!
 
Last edited by a moderator:
Huyu amezoea kula majani sasa kafika ugenin anapewa baga na tende ndo mana kapata hips!
 
Waaaat?!
Huyu ndo yule aliyepanda ndege?
Ndo kawa hivi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Akionwa na Askari Magereza wa Kiteto
kesha habari yake
 
Huyu atakuwa ni yule aliyepelekwa qatar, chezea jangwa wewe, anapamisije ngorongoro..yuko under go genes mutations, baada ya mwaka anageuka faru.
 
Back
Top Bottom