Twende Viettel

Twende Viettel

350 inamuweka mtu mjini msiipuuze kbs..wala tusikatishe wengne tamaa...hata mbuyu ulianza km mchicha!mnaoona wote wamefanikiwa wamepita pagum sana wengne walikua ht hawalipwi mwanzon but badae walitoka vzr tu so ikitokea umepata pga kaz kjn mwenzangu.
 
Dah lyf challenge sana...nnahc watu weng wa asia wana asili ya ubahiri..chek wahnd,wachina etc had wa vietnam??!!..but shati bovu si mgongo waz wadau..

Mkuuu umesema vema
Ila uamuzi ni wa mtu
Kama hauna uzoefu ni vema kuwekeza hapo ujifunze kazi

Kumbuka ukiwa na kazi ni rahisi kupata kazi
Me nawashauri kuwa you to young andaa future nzuri kwa kutengeneza good cv n ujuzi
 
Mi sjaitwa oral but nilfanya online test so kila la kher kwa mliosonga mbele...
 
350 inamuweka mtu mjini msiipuuze kbs..wala tusikatishe wengne tamaa...hata mbuyu ulianza km mchicha!mnaoona wote wamefanikiwa wamepita pagum sana wengne walikua ht hawalipwi mwanzon but badae walitoka vzr tu so ikitokea umepata pga kaz kjn mwenzangu.

Umesema vema mkuu
 
One luv,harakati znaendelea...hakuna kulala mpk uchumi binafc ukae sawa.
 
Duh jwa hiyo salary kwenye ushu ya telecom hampati mtu mwenye uzoefu, labda akazane kuwachukua fresh from colleges!
 
Kama sijaelewa hiv sentenc ya mwanzo mkuu

Namaanisha kuwa interview nilivoitwa haikuclick kwenye ubongo kama ni interview ya watu walioko serious unless kama hao waliowaajiri hawajui customer care.Mfano wanakupigia simu hello Alfred Jackson unatakiwa kuja kwenye interview ya Vietel itakayofanyika IFM block D.Sasa nikajaribu kuwauliza is that interview written or oral? wakajibu wewe tu njoo kwenye interview si uliaply kazi njoo utakachokutana nacho ndiyi hicho hicho.After 10 min nikawapigia akapokea mdada nikajitambulisha vizuri kabisa then naye yaleyale oooh si uliaply wewe nenda tu,after kama 1 min ndiyo akaniambia kuwa ni online interviw.In short nikajionea usumbufu kwa sababu hata walikuwa hawako organized but all in all ningekuwa kijiweni no way ningenda tu
 
Hongera,

Mi ile form yao nilishindwa kuelewa kujaza, unadelete zile space harafu kwenye tiki sijui ulifanyaje.I mean filling those blanks.
 
Leo wameongeza kidogo 400k loh..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi nilituma maombi lakini naona kimya wakati mlisisitiza tuendelee kutuma na kuwajulisha wengine,swali langu ni kwamba mtaendelea kuita watu waje kwenye interview au ndio mshafunga zoezi?
 
Mi nilituma maombi lakini naona kimya wakati mlisisitiza tuendelee kutuma na kuwajulisha wengine,swali langu ni kwamba mtaendelea kuita watu waje kwenye interview au ndio mshafunga zoezi?

Ha ha mkuuu hapa hakuna mhusika wa viettel..
 
Leo wameongeza kidogo 400k loh..

Sent from my iPhone using JamiiForums

Jamaa wanatak wapate watu bora kwa mshahara mdgo

Ila nakwambia kama graduate wote wange kataa dau lao . Lazima wange reconsider na kuongeza amount
 
Jamaa wanatak wapate watu bora kwa mshahara mdgo

Ila nakwambia kama graduate wote wange kataa dau lao . Lazima wange reconsider na kuongeza amount

mkuu kwa hiyo mimi nilikomaa 450 ndo nje au wanaweza nikumbuka? maana kwa hizo rates bado ziko chini ya nilipoomba
 
Back
Top Bottom