Twende Viettel

Twende Viettel

Sio wahindi hao vietnam

Mimi nilivoona watu wenyewe wanaonipigia simu kwa ajili ya interview hawajitambui na bahati mbaya nikawauliza wakaniambia kuwa eti ni Benson on Line ambao wanataka kufungua mobile company nikaona isiwe taabu wacha watu wengine waende nisiwazibie riziki
 
Waliniita wakaniambia kuwa interview ya online itafanyika siku ya Jmosi venue itakuwa IFM du nilishindwa kwa kuwa nilikuwa nimebanwa na zaidi nilivosikia ni mtandao wa Wahindi du nilijitoa mapema maana mimi na wahindi sawa na maji na moto

Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kuna watu waliwahi itwa kwa oral before?
 
Yeah. Yupo na aliambiwa akaanze kazi kesho yake, ila laki 3 ikamkimbiza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Yaani mimi interview niliitwa ila kuclick hata kidogo,du laki 3 jamani mjini Darisalamu si hataree
 
Sina hakika na hilo ila anafanya kazi katika moja ya telecom industry hapa dar.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hatari sana mkuu.. hivi una uzoef na haya ma interview ya written then unaitwa kupiga oral?
 
Hatari sana mkuu.. hivi una uzoef na haya ma interview ya written then unaitwa kupiga oral?

Yeah, ni kawaida tu, unachotakiwa kufanya ni kuelezea kiufasaha kile unachokifahamu, usijaribu kuover do.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yeah. Yupo na aliambiwa akaanze kazi kesho yake, ila laki 3 ikamkimbiza.
Sent from my iPhone using JamiiForums

Ukishaona usaili umejaa wanafunzi waliomaliza masomo ya juu karibuni, jua pia maslahi hayawezi kuwa mazuri...

Kwa wale wazoefu kazini ni vyema mkaacha hizi nafasi zijazwe na wanafunzi wanaomaliza masomo yao kwa sasa...

Kampuni ikishakaa sokoni kwa mwaka mmoja na zaidi ndio anzeni kuomba kazi huko...
 
Hao Viettel wana Tower zozote hapa dsm? na lini walijenga au watakodisha za Helios?
 
Kuna mtu kanipa nyepesi nyepesi, ameniambia aliitwa kwa oral then kazini, hiyo salary sasa kwa mwezi, eti ni 300000 kwa mwezi... Ndukiiii.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ilikuwa kawaida tu wanachek unavyo jiamini ulivyo fit kwa tahaluma yako na mambo kama hayo
Ila jamaaa ikafika mambo ya pesa sasa wakantel nisem price yangu nkakumbuk some thread za jf nkawageuzia qn
Bt walicho nijibu
Eti kampuni bado changa sana
So we can offer you 350 nkasema hiyo mnanipa na mke wa vietnam ama? Me nkasema yangu wakananmbia we wil reconsider then watanijulisha

In generl ni ishu za kawaida tu
 
350 si unaishia kulipa pango la nyumba tu? Bado nauli ya kwenda kazini, bado msosi. Damn...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah lyf challenge sana...nnahc watu weng wa asia wana asili ya ubahiri..chek wahnd,wachina etc had wa vietnam??!!..but shati bovu si mgongo waz wadau..
 
Back
Top Bottom