Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Hakyanani...
Word!
Halafu wengine huwa wana insist muende sehemu anayotaka yeye...kama pale kwa Mama Ngoma....
Ukiona hivyo stuka.
Sijaelewa hii ya mama ngoma ina siri gani?
Kwa nini Bossman?
Nawe ushakutana na wanaopenda kwenda kwa Mama Ngoma kupimwa ngoma?
Yes...
ndo najiuliza ina siri gani hapo?
hebu saidia nielewe