Twende NGORONGORO CRATER 27/12/2016

Twende NGORONGORO CRATER 27/12/2016

Nawashauri watakaoweza mwende. Bei hiyo reasonable saaanaa. Mimi mwezi wa sita nililipa usd 1100 safari kuanzia arusha kwenda Tarangire, ngorongoro na manyara parks jumla siku tatu ila night 2 za karatu country lodge. Mtu mzima alikuwa 1 na watoto 3. One big room. So hii ya CONRAD ni reasonable sana tena kuanzia Dar.
Mtoa mada ubarikiwe
 
Samahanini siwezi kujibu maswali yasiyo na tija. Unauliza mbona bei chee, unategemea ujibiwaje? Au mbona chakula umesahau! Sasa kwanini sija sahau nlivyoviweka ukiona hakijawekwa means hakipo kwenye huduma. By the way tuna nafasi 8 tu.
Poa utawapata wa kujaza hizo nafasi. Ingawa sina hata haja ya kusafiri kwenda huko. Nitakuwa Selous nawinda.
 
mmmh! Mbona bei chee hivyo??
Note that hiyo ni gharama ya usafiri tu, kiingilio ni bei rahisi kabisa kwa raia wa Tanzania, pia gharama za mwongozaji kwa wote pia ni rahisi sana. Isipokuwa kusafiri kwa watu wengi pamoja kuna raha yake, Ngorongoro ni eneo zuri sana kutembelea hakika hutojuta kutumia muda wako kwenda huko.
 
Back
Top Bottom