Twende Bagamoyo 24/09/2016 - Safari Pamoja

Conrad84

Senior Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
104
Reaction score
43
1473106042614.jpg

Tusafiri pamoja kutembelea mji wa kale wa Bagamoyo Jumamosi ya tarehe 24/9/2016 kwa gharama ya shilingi 20,000/- tu ikijumuhisha
- Nauli ya kwenda na kurudi,
- Gharama ya mwongozaji (guide) na breakfast.

Safari itaanzia Ubungo saa1:00 asubuhi. Ni safari ya saa1 kutoka Dar es salaam.

How many of you would like to have this tour with us?

Book your Seat today! 0763 553 888/0672 514 440
Email: safaripamoja@gmail.com,Facebook: safaripamojatz
 
Acha wizi. Costa za kutoka Makumbusho hadi Bagamoyo nauli ni sh 2200, kwenda na kurudi jumla hata haifiki elfu tano... Hiyo elfu ishirini unatupeleka na Kilimo kwanza?
Kuhusu muongozaji sijaona haja ya muongozaji. Bagamoyo hakuna sehemu ya kupotea. Kama mtu anaenda Kariakoo bila muongozaji sembuse Bagamoyo?
 
makavu live[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanikumbusha enzi za mkwere wikiend kila mtu "naenda bagamoyo kula bata"saivi hahahaaa imebakia tu historia!
 
Hii nauli imekua mara mbili ya ile ya safari iliyoita! Pungizeni,
 
Acha wizi. Costa za kutoka Makumbusho hadi Bagamoyo nauli ni sh 2200, kwenda na kurudi jumla hata haifiki elfu tano... Hiyo elfu ishirini unatupeleka na Kilimo kwanza?
Kuhusu muongozaji sijaona haja ya muongozaji. Bagamoyo hakuna sehemu ya kupotea. Kama mtu anaenda Kariakoo bila muongozaji sembuse Bagamoyo?
Acha kuharibu biashara za watu. Kumbuka Coaster litakuwa la kukodi hivyo ukitoka Ubungo ni moja kwa moja hadi Bagamoyo. Bado kuna kuwazungusha kuanzia Jumba la dhahabu, Kanisa katoliki, Shamba la Mamba,Kaole Ruins, Caravan Serai Museum, Msalabani etc etc. Bado gharama za muongozaji tuseme 50,000. Au unadhani muongozaji anakupeleka tu!! Lazima awe anajua historia ya kila eneo analokupeleka.
 
WEEE MBAYAAAAA, WEEE MBAYAAAA, YANI USHAMUONA MIPANGO YAKE....
 
Acha wizi. Costa za kutoka Makumbusho hadi Bagamoyo nauli ni sh 2200, kwenda na kurudi jumla hata haifiki elfu tano... Hiyo elfu ishirini unatupeleka na Kilimo kwanza?
Kuhusu muongozaji sijaona haja ya muongozaji. Bagamoyo hakuna sehemu ya kupotea. Kama mtu anaenda Kariakoo bila muongozaji sembuse Bagamoyo?
Bro Kodofan kama sio mwendaji acha kuharibu riziki za watu sio vizuri mkuu usinifahamu vibaya lakini hii ndio husda yenyewe. Sasa watu wanakwenda kufanya tours wazunguke sehemu mbali mbali kuna matumizi ya mafuta,kibali,malipo ya dereva na tour guide huyu ndio anajua historia ya maeneo husika na kukupeni maelezo ya historia ya hayo maeneo. Sasa wewe unaongea kariakoo hivi unahitaji mtu kukwambia kama hizi nyanya za dodoma, matikiti ya tanga viazi vya singida?
 
Acha kuharibu biashara za watu. Kumbuka Coaster litakuwa la kukodi hivyo ukitoka Ubungo ni moja kwa moja hadi Bagamoyo. Bado kuna kuwazungusha kuanzia Jumba la dhahabu, Kanisa katoliki, Shamba la Mamba,Kaole Ruins, Caravan Serai Museum, Msalabani etc etc. Bado gharama za muongozaji tuseme 50,000. Au unadhani muongozaji anakupeleka tu!! Lazima awe anajua historia ya kila eneo analokupeleka.
Acha uongo pale Kaole unatoa TZS 1500 na hata Makumbusho ya RC ni kama TZS 5000 kama sijakosea tena unampa mtembeza wageni,afadhali mtu uende peke yako kwa kupanda mabasi ya Bagamoyo,sababu ukichukua bajaj hadi RC ni 3000,kaole kwenda na kurudi ni 10000,na Ukitoka kanisa la RC kwenda msalabani unatembea na miguu tu na ni bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom