Twende ki military lingo.......!!!!

Zero, this is bravo one...is safe house ready?..repeat..is safe house ready?

Bravo team...prepare the exfil.

Roger that..
 
Hivo ni vifupi ambavo vina maana moja na ni rahisi kueleweka na sentensi ni fupi(inaitwa 10-20 code system)

20-location,50-accident :raia atakuuliza, naomba uniambie ajali imetokea wapi,,,wakati askari atauliza naomba 20 ya 50(give me twenty on fifty).
Ukiambiwa alpha ,bravo, zero team hayo ni makundi ya timu wamegawana ya kwanza ya pili na ya tatu.

Kijeshi kutaja namba TAC20916-tango alpha charle two zero nine one six.

kuliko kusema kulia au kushoto au mbele yako au angle 45,wanatumia saa 12-mbele yako,6-nyuma yaho,3 oclock n kama nyuzi 45,

Hivi vitu wanasomea na si kwa ajili sisi raia tusiwaelewe ila ni njia rahisi ya mawasiliano
 
Ujo vizuri mike
 
Back
Top Bottom