Twende ki military lingo.......!!!!

Nimecheka sana hapa...Daaah
Cheka mkubwa mwenzangu unenepe vitoto vingine vinajiona vishakuwa kina field marshall kwa movie za prison break twenty four the unit and a sort of that..... Pia vinajisahau kuwa wakati vinakunya babazao tuna uwezo wa kuhara mpaka vikome kuringa....

Pia nathani ni muhimu serikali ikatoa mikopo kwa hivi vitoto vianze kuhangaika na course works na university exams viwe bize viachane na series za kimarekani na kikorea.

Sahivi viko bize kwenye makochi ya waume wa dada zao vinaangalia series za kukodisha mabandani ukichanganya na vifurushi vya chuo vya tigo basi kero tupu huku jf.

Sasa vitoto kama hivi hatuna budi kuviambia vitoe heshima kwa baba zao bureee la sivyo wazazi wao tunaweza kuichukua heshma hiyo kwa nguvu.
 
Sierra, Golf, Tango....one black hawk is down....I repeat....one black hawk is down....over!

Hilo muvi la Watabe wenyewe wamarekani wakajichanganya wakavamia kwa watoto wa mjomba pale Somalia kwa Wamavimavi na ndege zao special zilizotengezwa kwa ajili ya operation ya somalia pekee...zikiaminiwa haziwezi kuangushwa.

Sasa mapema tu baada ya wamarekani kutia mguu Somali dege moja la black hawk down linatunguliwa na kuanguka chini...soldier mmarekani akiwa aamini kilichotokea anaripoti kwa Afande wake alieko base...kwa sauti hiyo hapo juu ya ....one black hawk is down!

Hatari tupu humo! Maana marekani alipigwa msako Dunia nzima haijawahi tokea..matokeo yake kabla ya mission kuisha jamaa akaterminates mission na kurudi home Mohammed all fala ididi akaendelea kutawala kwa tank pale town Mogadishu.
 
Hilo movie nalikubali sana linaanza kwanza mablack yanagombania chakula cha donation.....jamaa likawafyeka kama kumi hivi ndo kuwa tuliza....halafu linawaonesha walioko kwenye chopa fuc...
 
Sierra, Golf, Tango....one black hawk is down....I repeat....one black hawk is down....over!

Hilo muvi la Watabe wenyewe wamarekani wakajichanganya wakavamia kwa watoto wa mjomba pale Somalia kwa Wamavimavi na ndege zao special zilizotengezwa kwa ajili ya operation ya somalia pekee...zikiaminiwa haziwezi kuangushwa.

Sasa mapema tu baada ya wamarekani kutia mguu Somali dege moja la black hawk down linatunguliwa na kuanguka chini...soldier mmarekani akiwa aamini kilichotokea anaripoti kwa Afande wake alieko base...kwa sauti hiyo hapo juu ya ....one black hawk is down!

Hatari tupu humo! Maana marekani alipigwa msako Dunia nzima haijawahi tokea..matokeo yake kabla ya mission kuisha jamaa akaterminates mission na kurudi home Mohammed all fala ididi akaendelea kutawala kwa tank pale town Mogadishu.
Ni bonge la oicha kutoka kwa mkali wills

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Cheka mkubwa mwenzangu unenepe vitoto vingine vinajiona vishakuwa kina field marshall kwa movie za prison break twenty four the unit and a sort of that..... Pia vinajisahau kuwa wakati vinakunya babazao tuna uwezo wa kuhara mpaka vikome kuringa....

Pia nathani ni muhimu serikali ikatoa mikopo kwa hivi vitoto vianze kuhangaika na course works na university exams viwe bize viachane na series za kimarekani na kikorea.

Sahivi viko bize kwenye makochi ya waume wa dada zao vinaangalia series za kukodisha mabandani ukichanganya na vifurushi vya chuo vya tigo basi kero tupu huku jf.

Sasa vitoto kama hivi hatuna budi kuviambia vitoe heshima kwa baba zao bureee la sivyo wazazi wao tunaweza kuichukua heshma hiyo kwa nguvu.
Wala sijaona busara yako mkuu,kwanini uvamie burudani za watu kama hupendi?JF ina majukwaa kibao,choose what suits you.
Halafu ni narrow intepretation kudhani kwamba wanaochat hapa ni wanafunzi au hawana elimu ya juu.Hizi ni burudani za watu hata kama ana PhD
 
Busara ni kama nguo ya ndani(chupi) tunaamini kila mtu amevaa... So usitarajie nivae mlege ili wewe phd holder uione chupi yangu... Likewise naamini umevaa chupi uliyotumia kunijibu majibu yako....
Huyu mzee lazma afe kwa presha kama kweli hesabu zake za tanzania ya viwanda ilikuweka phd wewe into his equation.
 
Back
Top Bottom