Twanga pepeta ya mwaka 1998 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Twanga pepeta ya mwaka 1998

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jul 2, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio Twanga pepeta ya mwanzo kabisa,kutoka kushoto ni Banza stone,Luiza Mbutu,Jesca charles na Hamigoras.Huyo anaepiga gitaa nyuma ya Banza ni Adolph Mbinga. 107.JPG
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 969
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Walikuwa washamba.
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wakati huo wanatamba na nyimbo kama "kisa cha mpemba"
   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,963
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hii ni kiboko

  [​IMG]
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  twanga pepeta nnavyoipenda nitakunywa sumu juu yake! Banza stone enzi zake aki rap. Kisa cha mpemba niliupenda sana huo wimbo mpaka simu ya siemens c25 na c28 zikaitwa twanga pepeta si kitoto
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,750
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nani mwenye namba ya simu ya Jesca Charles, Jamani? Mashallaaah!
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Enzi hizo Leaders Bonanza kiingilio 500.
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mmmh longi time
   
 9. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,176
  Likes Received: 872
  Trophy Points: 280
  Hapo naona Luiza anaanza kuwa kinyonga ,anabadilika kutoka kuwa mweusi tii (enzi hizo akifanya kazi gereji pale garage Sinza opp na Lion Hotel) na kuwa mweupe(mthungu) mweee
   
 10. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo unaetaka namba zake ni mke wa mtu tena kaolewa na mzungu,jiangalie utapotezwa.
   
 11. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 492
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kiingilio kilikuwa bure enzi hizo.
   
 12. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  well said mkuu, wanaotumia calorite, hujitetea na kusema, eti maisha yakikukbali unakuwa mweupe...
   
 13. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo Luiza mbutu alikuwa na ngozi yake halali sio ya sasa Artficial skin kama ya kenge.
   
 14. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,963
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kweli ngozi ilikua balaa ile mbaya mkuu
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,605
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani umeona tofauti ya rangi ya ngozi yake. Jibu umeshapata sasa.
   
 17. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,785
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni kati ya bendi za kitanzania zilizovuma na kuvunja kasumba ya kuzishabikia bendi toka DRC au Zaire wakati ule
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tulipotoka nimbali sana
   
 19. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,663
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Enzi hizo Luiza Mbutu ametoka kucheza ngoma za asili " Tumetokaaa kwetu Mahengeeee, tumekujaaa Darisalaamaaa kucheza ngoma sandala" Naikumbuka verse ya bendi asili iliyo mtoa Luiza. She is neither beautiful nor Ugly, but married" Big up Luiza!!!!
   
Loading...