Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
Pamoja sana TULIANZA NA MUNGU.......
Ni nani huyu.View attachment 2286617
Hii ni Kesho tarehe 11/07/2022 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizoko Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia Saa 4 Asubuhi .
Mwaipaya ambaye ni Kiongozi wa Uhamasishaji wa Bavicha anatarajiwa kukata mzizi wa fitna kuhusu kutekwa kwake na bila shaka ataweka wazi wale wote waliokuwa nyuma ya mpango huo na Malengo yao .
Wote Mnakaribishwa
Karibu sanaKuna mwenye akili anaweza kumsikiliza huyo mwehu?
Nikaribie nn?Karibu sana
up date pleaseView attachment 2286617
Hii ni Kesho tarehe 11/07/2022 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizoko Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia Saa 4 Asubuhi .
Mwaipaya ambaye ni Kiongozi wa Uhamasishaji wa Bavicha anatarajiwa kukata mzizi wa fitna kuhusu kutekwa kwake na bila shaka ataweka wazi wale wote waliokuwa nyuma ya mpango huo na Malengo yao .
Wote Mnakaribishwa
wewe sio mwananchi?.kama ambavyo wewe umejua hiyo taarifa ndivyo ambavyo na wengine watajua.acha kujipa umuhimu kwakujifanya msemaji wa watu wote.Chadema mnaamini kwamba watu wako attention na nyinyi,wakati kiuhalisia ni kwamba mmegeuka kuwa chama cha Online Tv's,Club houses na kwenye Gazeti la Raia Mwema kwa kubenea.
Wananchi wako busy na maisha yao kila siku na mambo ya siasa ni mpaka 2025.
Huyo Mwaipaya anamuungurumia nani?
Ni kwamba atawaungurumia hao hao wa ufipa pekee.
Maana ndio watakuwa karibu nae.
Hakuna aliyetekwa na kuachiwa kisha akaitisha press ikafanikiwa bila zengwe. Hiyo press ikifanikiwa mimi naamini atakuwa hakutekwa!Huyo ndiyo nani. Chadema mnapenda kukuza vitu! Eti kutekwa!!!@
Chadema mnaamini kwamba watu wako attention na nyinyi,wakati kiuhalisia ni kwamba mmegeuka kuwa chama cha Online Tv's,Club houses na kwenye Gazeti la Raia Mwema kwa kubenea.
Wananchi wako busy na maisha yao kila siku na mambo ya siasa ni mpaka 2025.
Huyo Mwaipaya anamuungurumia nani?
Ni kwamba atawaungurumia hao hao wa ufipa pekee.
Maana ndio watakuwa karibu nae.
Hapa hapa tu umecomment issue ya mwehu. Wewe utakuwa zaidi yake.Kuna mwenye akili anaweza kumsikiliza huyo mwehu?
🤣🤣🤣chadema chama la watu. Ukubqli ukatae itabaki kuwa hovyo.Chadema mnaamini kwamba watu wako attention na nyinyi,wakati kiuhalisia ni kwamba mmegeuka kuwa chama cha Online Tv's,Club houses na kwenye Gazeti la Raia Mwema kwa kubenea.
Wananchi wako busy na maisha yao kila siku na mambo ya siasa ni mpaka 2025.
Huyo Mwaipaya anamuungurumia nani?
Ni kwamba atawaungurumia hao hao wa ufipa pekee.
Maana ndio watakuwa karibu nae.
Ebu niambie usiku huu nini alichounguruma huyo Mwaipaya?wewe sio mwananchi?.kama ambavyo wewe umejua hiyo taarifa ndivyo ambavyo na wengine watajua.acha kujipa umuhimu kwakujifanya msemaji wa watu wote.
Mwehu Ni weweKuna mwenye akili anaweza kumsikiliza huyo mwehu?
Baba yakoNi nani huyu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] STRESS HIZI MKUUBaba yako