bothlegs
Senior Member
- Apr 14, 2009
- 123
- 49
Jamaa mmoja anaitwa TWAHA alienda kwa Mchina kung'oa jino.Baada ya kufika kwa mchina akajitambulisha, kisha akamueleza lile tatizo lake.Kabla hajaanza kumtibu mchina akamwambia yule jamaaTwaha hulimi.Jamaa akamjibu nalima nina mashamba makubwa sana.Mchina akarudia tena kusema Twaha hulimi,jamaa akajibu kama alivyomjibu mwanzo.Hatimaye akatokea dakitari mzalendo ambaye anafahamu kile kiswahili cha yule mchina.Dakitari akamfahamisha yule jamaa kwamba anaambiwa atoe ulimi.