TvT hebu angalia hii pliz

mimi invisible bado naona ni kubwa..halafu kwanini waige KBC?? mi naona iyo ya msema ovyo imetulia zaidi...bora
 
Jamani mmeliona lile li-sticker la background kwenye taarifa ya habari? Wameshindwa kuibandika bila ile mikunjokunjo? Mh, aibu! Shy hebu fikisha ujumbe. Mnafanya kazi nzuri lakini mnaharibu kwa vijimambo vidogovidogo
 
Back
Top Bottom