TV4Sale TV ZINAUZWA HIZI CHAGUA IKUFAAYO

TV4Sale TV ZINAUZWA HIZI CHAGUA IKUFAAYO

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,817
Reaction score
5,403
Habari wana jf...hizi tv hapa pichani zinauzwa..bado mpya hazina shida yeyote

rising inch 39 ni tsh 300000 tu
Boss smart tv inch 43 ni tsh 450000 tu
kwa mawasiliano 0627474141 au 0773474141
zipo ilala dar es salaam

sababu ya kuziuza ni kuwa zilitakiwa kutumika katika kibanda umiza kwa ajili ya kuonesha mpira...but mwenye eneo ambaye hapoa awali tulikubaliana vizuri na zikanunuliwa mbao,tv kwa ajili ya maandalizi lakini mwisho wa siku kapangisha mtu mwingine wakati tv zimeshanunuliwa,hivo zipo tu
 

Attachments

  • 4juGmpn8.jpg
    4juGmpn8.jpg
    23.2 KB · Views: 23
  • 73RRnGDW.jpg
    73RRnGDW.jpg
    24.1 KB · Views: 26
  • a7N1p-oQ.jpg
    a7N1p-oQ.jpg
    36.6 KB · Views: 25
  • USlTuPOQ.jpg
    USlTuPOQ.jpg
    30.3 KB · Views: 24
  • xNVZQthB.jpg
    xNVZQthB.jpg
    25 KB · Views: 27
Back
Top Bottom