Mwezi wa 9 mwaka jana mimi na jamaa yangu tulikwenda kununua TV Kariakoo na tulifanikiwa kununua tv za hii brand ya Ouling.Lkn kwa kipindi kifupi tu yaani sep 2016-jan2017 tv zote yaani ya kwangu na ya jamaa zimekata sauti,picha iko fresh lkn sauti hazitoi nafikiria kuirudisha lkn nakosa mda.Vp kuna mwenye uelewa na hili kabla cjaenda kuvaana nao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni Fake halafu bado ni mchina.. Fake ya MchinaSasa ww unaenda kununua mchina tena fake full untegemea nn?
Imekula kwako hiyo mkuu.
Yaani hatari tupu tatizo wabongo tunapenda vizuri kwa gharama rahisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni Fake halafu bado ni mchina.. Fake ya Mchina
Ndio wale waleNa aborder imekaaje wakuu?
Asante mkuu, nilitaka nikainunue .Ndio wale wale
Hahaha ndo maana nikakuambia mara nyengine nichek, huwezi kukutana na hilo tatizo na mengineyo kwenye bidhaa zetuM
Mara nyingine sitanunua tena tv bora niishi kama shetani.Wachina wanatutia umaskini sana.Ntajitahidi kwa kadri ya uwezo wangu kutonunua bidhaa yoyote ya kichina kuanzia sasa
Ndio wale wale
Wanajitahidi kidogoMkuu vipi na kwa upande wa hili toleo la star x kwa upande wa ubora.
Wanajitahidi kidogo