Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Wadau kuna tetesi kuwa TV za flat za LED za kampuni za LG na SUMSUNG hasa za Korea huwa zinarekodi picha na sauti unavyotumia nyumbani. Wanasema kuwa hukusanya taarifa za wadumiaji na kurudisha viwandani mwao. Na baadhi ya watu wameeshaanza kulalamika.
Pia wanasema ni vigumu sana kugundua sensor inayochukua picha na sauti kwenye TV hizo?
Eti kuna ukweli wowote kuhusiana na tetesi hizi?
Karibuni kwa michango yenu
Pia wanasema ni vigumu sana kugundua sensor inayochukua picha na sauti kwenye TV hizo?
Eti kuna ukweli wowote kuhusiana na tetesi hizi?
Karibuni kwa michango yenu
