TV ya BOSS ni nzuri?

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,413
wakuu nipo kwenye mchakato wa kununua TV nzuri na nimeresearch TV kadhaa.....nimetokea kuipenda BOSS TV na nataka ninunue ya inch 50 au 55 ......specs zake nimezielewa nataka tu kupata uzoefu wa nyie ambao mmeshanunua hii brand...mapungufu na mazuri yake

asanteni
 
Mkuu, ni nzuri sana, mimi niliwahi kuwa nayo ya 30' nikatumia mwaka mzima, nikagawa, sasa ninatumia ya 50', hazina tatizo lolote, vuta kitu Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom