KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Mimi nimekuwa nikiangalia tv za kibongo kweli hawana wabunifu wa vipindi linachonishangaza nipale Channel zote kutekwa na michezo ya Amerika kusini hivi unataka kuniambia hapa africa hakuna michezo ya kuvutia mpaka kuwa watumwa wa picha za America kusini?
Hapa mbona tuna wasanii wazuri kuliko akina marichui?
Hebu badilikeni tafuteni vipindi vyakuelimisha jamii kuna vitu vingi watanzania hawavijui hata elimu ya Tabia nchi matufani jinsi yakujiokoa na majanga elimu ya viumbe vya majini vipo vipindi vingi vya kufurahisha!!