hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Hata picha uonSijaelewa kitu
The aim ya urembo uwo ni kuasemble hizo rays light zikae hivyo. Ukiweka tv zinaishiria nyuma ya tv.Tatizo la waTZ huwa wanaremba mpaka inakuwa uchafu... Sasa tv ni pembe nne, wewe umeweka duara la nini..???