Wadau naomba mnitoe tongotongo kuhusu huu mtindo wa TV zetu kuonyesha habari za afrika mashariki. Hivi kuna matakwa ya kisheria yanayolazimisha kufanya hivyo au ni uamuzi wa tv steshen husika?
Na mbona huko kwa wenzetu hawaonyeshi habari zetu? Tunatafuta nini kwa kuonyesha taarifa hizi au tv husika zinafaidika vipi kwa kuonyesha habari za wenzetu hawa ambao ukienda kwao huwezi kusikia wakitaja jina tzania achilia mbali kutangaza habari za tzania!
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..kunguru ww