TV Kuonyesha Habari za Afrika Mashariki

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,185
2,000
Wadau naomba mnitoe tongotongo kuhusu huu mtindo wa TV zetu kuonyesha habari za afrika mashariki. Hivi kuna matakwa ya kisheria yanayolazimisha kufanya hivyo au ni uamuzi wa tv steshen husika?


Na mbona huko kwa wenzetu hawaonyeshi habari zetu? Tunatafuta nini kwa kuonyesha taarifa hizi au tv husika zinafaidika vipi kwa kuonyesha habari za wenzetu hawa ambao ukienda kwao huwezi kusikia wakitaja jina tzania achilia mbali kutangaza habari za tzania!
 

Super Handsome

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
3,797
2,000
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..
 

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,158
2,000
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..
HAkukuwa na haja ya kumtukana mtoa hoja...
 

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
765
225
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako

Kwani wewe umekerwa na nini hasa? Mbona habari za mataifa mengine huongelei ama huoni umeona tu ya Africa Mashariki? Think b4 posting your status.
 

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,185
2,000
Yale matangazo huyaoni? Habari za Afrika Mashariki zinaletwa kwenu na.............. Tumia akili,,..vyombo vya habari lazima viwe bunifu ili kupata matangazo viweze kujiendesha..changanya na zako..kunguru ww

Sijakusoma, una maana tz hatufanyi biashara ila hao wengine wanafanya biashara kwaiyo tunawatangazia biashara zao?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom