TV brooadcasting tunalipia.... Radio Broadcasting bure.. Hii imekaaje mazee!!

Malipo ya TV ni dunia nzima si Tanzania tu utakapoingia ktk mfumo wa kutumia decoder.

Mara nyingi kuna channels watakupa bure lakini zaidi utaambiwa lazima ulipie.

Na baadhi ya makampuni makubwa yanayoendesha biashara hii ya TV mfano Dstv wao unalipa na pesa yako ikimaliza decoder inakata matangazo.

Kuna wale wanatumia mfumo wa decoder na kunasa matangazo ya free duniani kupitia dish lakini hawana choice ya channel ni zile za free tu.

Issue kwanini Redio hatulipi Na TV tunalipa hilo wenye majibu wenye mamlaka na hizo services
 
Norway Will Be First Country To Shut Down FM Network, Go All-Digital

Malipo ya TV ni dunia nzima si Tanzania tu utakapoingia ktk mfumo wa kutumia decoder.

Mara nyingi kuna channels watakupa bure lakini zaidi utaambiwa lazima ulipie.

Na baadhi ya makampuni makubwa yanayoendesha biashara hii ya TV mfano Dstv wao unalipa na pesa yako ikimaliza decoder inakata matangazo.

Kuna wale wanatumia mfumo wa decoder na kunasa matangazo ya free duniani kupitia dish lakini hawana choice ya channel ni zile za free tu.

Issue kwanini Redio hatulipi Na TV tunalipa hilo wenye majibu wenye mamlaka na hizo services
 
Sahivi naona bora kununua dish tu la futi 6 lile na LNB zake. Ukipata na decoder yako inayoweza kufanya auto mapping ya frequency, ya kisasa zaidi at least kiwango cha HD.

Unaita fundi anakusetia channel zako local unapata bure na za kulipia kadhaa unahack tu. Mambo yanakwenda hamna haja ya kuumiza kichwa na kulipia tv. Sidhani kama tv ni kitu special hivyo kustahili kutafuna fedha pia.
 
Unataka akina Charlie Cox wale wapi mkuu?? Morgan Freeman?? Drake?? Oprah?? Na upande wa sports je??
Simple analysis tu ukiachia mbali uandaaji wa vipindi mbalimbali na urushaji wake.
 
Kwa elimu yangu tv inatuma picha na wanatumia rangi wananunua wingo but redio wanatumia chenga za nafaka sijui nimeeleweka au nirudie [emoji13] [emoji13] [emoji13] mm mbio[emoji125]
 
Swali zuri sana!
Kwanza Kwa swali lako nathibitisha pasi nasha ww siyo engineer! Utakuwa ni Fundi mchundo ulisoma telecom kidogo au ni mwanafunzi ambapo bado upo chuo.
Kwa level ya Engineer ambaye ni registered hawezi kushindwa kuelewa haya vinginevyo apokonywe leseni hafai.
MAJIBU
Fuatilia majibu yangu Kwa makini kwani napenda kujibu Kwa kifupi tu!
1.Radio broadcasting.
Ni urushaji wa matangazo kwa njia ya sauti kupitia frequency ambapo unahitaji vifaa vya matangazo na mnara wa kulusha hizo frquency zako baas! (Mara nyingi hufanywa na wamiliki Wa redio pekee)
2. Video broadcasting
Hapa kuna watu wawili,
A. Wenye channel Kwa mfano! ITV, EATV,TBC2, CNN etc
B. Mwenye king'amuzi Kwa mfano AZAM, STAR TIME, TING etc
Note;
Hapo mwenye king'amuzi , mwenye king'amuzi hulazimika kukusanya Chanel mbalimbali na kuzihost kwenye king'amuzi chake, na kutokana na operating cost huyu hana namna nyingine ya kupata Pesa zaidi ya kucharge consumer! Ingawa pia anao uwezo Wa kuweka Chanel yake mwenyewe Kwa matangazo pekee (ie. Star time guide), huyu ndiye anayeamua kuachia Chanel bure au kulipiwa, anaweza akaamua kuweka Chanel Fulani bure endapo nayeye atapewa unafuu Wa uendeshaji katika kodi zake!
Cha kuzingatia hapo anayeleta gharama za malipo ni mwenye king'amuzi!
NAOMBA SWALI JINGINE
 
Sizani kama tunalipia TV chanel, ninachojua mie tunalipa yule mtoa huduma aliyetuletea svc karibu na kuweka chanel zote kwenye transmission frequency yake. Kwahiyo tuunalipia kwake kwa sababu katuletea bundle la chanel sio tv chanel mojamoja. Ukitaka free airchanel unazipata pia ila kwa njia kama aliyofanya huyo provider.
 
Kidogo nimeanza kupata idea...
Kuwa TV broadcasting zinatumia satellite (digital communication) which is very expensive...
Lakini Radio zinatumia Terrestrial MW (Analogue) ambayo sio expensive.

But I do still remember that time:
Wakat bado tunatumia Cable TV pale Shinyanga tulikua tunalipia 10,000/= kwa Mwezi.....
Kumbe wa kule kule Koromije! Ndiyo maana!
 
Swali zuri sana!
Kwanza Kwa swali lako nathibitisha pasi nasha ww siyo engineer! Utakuwa ni Fundi mchundo ulisoma telecom kidogo au ni mwanafunzi ambapo bado upo chuo.
Kwa level ya Engineer ambaye ni registered hawezi kushindwa kuelewa haya vinginevyo apokonywe leseni hafai.
MAJIBU
Fuatilia majibu yangu Kwa makini kwani napenda kujibu Kwa kifupi tu!
1.Radio broadcasting.
Ni urushaji wa matangazo kwa njia ya sauti kupitia frequency ambapo unahitaji vifaa vya matangazo na mnara wa kulusha hizo frquency zako baas! (Mara nyingi hufanywa na wamiliki Wa redio pekee)
2. Video broadcasting
Hapa kuna watu wawili,
A. Wenye channel Kwa mfano! ITV, EATV,TBC2, CNN etc
B. Mwenye king'amuzi Kwa mfano AZAM, STAR TIME, TING etc
Note;
Hapo mwenye king'amuzi , mwenye king'amuzi hulazimika kukusanya Chanel mbalimbali na kuzihost kwenye king'amuzi chake, na kutokana na operating cost huyu hana namna nyingine ya kupata Pesa zaidi ya kucharge consumer! Ingawa pia anao uwezo Wa kuweka Chanel yake mwenyewe Kwa matangazo pekee (ie. Star time guide), huyu ndiye anayeamua kuachia Chanel bure au kulipiwa, anaweza akaamua kuweka Chanel Fulani endapo yeye atapewa unafuu Wa uendeshaji katika kodi zake!
Cha kuzingatia hapo anayeleta gharama za malipo ni mwenye king'amuzi!
NAOMBA SWALI JINGINE
Majibu yako yamenipa mwanga! Umefungua wengi!
Ila na mm nina wasiwasi mtoa mada siyo injinia kwanza Kwa mwandiko wake;
Injinia hawezi kuwa na mwandiko mbovu na Wa kihunihuni vile!
 
Kubabake...
Mnataka kuniamsha wazimu wangu sio....
Nilianza kwa kueleza mgawanyiko wa Engineering....
Nikatoa na weakness zangu kwenye hii broadcasting field....

Halafu mnaniletea hapa ubwenyenye....

Mna bahati demu wangu kaja getto muda huu
 
Swali zuri sana!
Kwanza Kwa swali lako nathibitisha pasi nasha ww siyo engineer! Utakuwa ni Fundi mchundo ulisoma telecom kidogo au ni mwanafunzi ambapo bado upo chuo.
Kwa level ya Engineer ambaye ni registered hawezi kushindwa kuelewa haya vinginevyo apokonywe leseni hafai.
MAJIBU
Fuatilia majibu yangu Kwa makini kwani napenda kujibu Kwa kifupi tu!

Kubabake unataka kuniamsha mizimu yangu sio...
Nilianza kwa kueleza mgawanyiko wa Engineering...
Nikaeleza weakness yangu kwenye broadcasting field..

Halafu unataka kuniletea ubwenyenye hapa...

Bahati yako demu wangu kaja getto muda huu
 
Wakuu tuendelee.. Ama ndio kusema humu hakuna ma Transmission Engineers....

Engineer niko peke yangu tu??? Acheni masikhara mazee
Dah... Miye injinia pia.... Kasoro siku mwalimu anafundisha somo hilo nilikuwa naumwa[emoji13] [emoji13]
 
Mi nahisi ni kutokana na gharama za kuandaa na kurusha vpnd vya ymtv
 
Swali zuri sana!
Kwanza Kwa swali lako nathibitisha pasi nasha ww siyo engineer! Utakuwa ni Fundi mchundo ulisoma telecom kidogo au ni mwanafunzi ambapo bado upo chuo.
Kwa level ya Engineer ambaye ni registered hawezi kushindwa kuelewa haya vinginevyo apokonywe leseni hafai.
MAJIBU
Fuatilia majibu yangu Kwa makini kwani napenda kujibu Kwa kifupi tu!
1.Radio broadcasting.
Ni urushaji wa matangazo kwa njia ya sauti kupitia frequency ambapo unahitaji vifaa vya matangazo na mnara wa kulusha hizo frquency zako baas! (Mara nyingi hufanywa na wamiliki Wa redio pekee)
2. Video broadcasting
Hapa kuna watu wawili,
A. Wenye channel Kwa mfano! ITV, EATV,TBC2, CNN etc
B. Mwenye king'amuzi Kwa mfano AZAM, STAR TIME, TING etc
Note;
Hapo mwenye king'amuzi , mwenye king'amuzi hulazimika kukusanya Chanel mbalimbali na kuzihost kwenye king'amuzi chake, na kutokana na operating cost huyu hana namna nyingine ya kupata Pesa zaidi ya kucharge consumer! Ingawa pia anao uwezo Wa kuweka Chanel yake mwenyewe Kwa matangazo pekee (ie. Star time guide), huyu ndiye anayeamua kuachia Chanel bure au kulipiwa, anaweza akaamua kuweka Chanel Fulani bure endapo nayeye atapewa unafuu Wa uendeshaji katika kodi zake!
Cha kuzingatia hapo anayeleta gharama za malipo ni mwenye king'amuzi!
NAOMBA SWALI JINGINE

Kulusha=kurusha

Uko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Iyo inahusiana na conection camption compare and oganize transimita na themometa na output ndio maana inakuwa hvyo.samahani mkuu nimejibu kitaalamu sana.
 
Kubabake unataka kuniamsha mizimu yangu sio...
Nilianza kwa kueleza mgawanyiko wa Engineering...
Nikaeleza weakness yangu kwenye broadcasting field..

Halafu unataka kuniletea ubwenyenye hapa...

Bahati yako demu wangu kaja getto muda huu
Kumbe we ni majinuni
 
Back
Top Bottom