Na wewe hutumii akili tatizo lenu watanzania hamtaki mabadiliko na ushindani sasa mlitaka waje na style gani ya habari uccm na ucdm?mimi nimewatizama sana na naendelea kuwatizama inaonekana hawataki mlengo wa kushoto wa kulia wanakuja na stori zinazogusa maisha ya watu hata hivyo hiki ni kituo kipya nini maana ya kuja mpya kwenye market na kitu kinachofanana na wenzio?
Hiii tv imekuja na mtizamo wa tofauti tuwape muda tuendelee kuangalia ni kitu gani kipya watafanya umenishangaza unayesema sauti za maripota kama kina ufoo saro na jacquline mselemu wa itv wewe kweli box sasa hao uliowataja ndio umeona maripota bora kwa kuongea sauti za kichaga?Kwani hao walianzia wapi jamani huyo ufoo saro huwezi kumlinganisha sauti yake na ripota wao zainab nani sijui sauti kama BBC.Jifunze kuappreciate mtu akifanya kitu kizuri majungu waachie CCM na CDM.
Sio lazima A kuwa B unataka habari zinazofanana ukiangalia ITV,TBC,EATV kitu kilekile?
Tujifunze kuukubali ushindani jamani kiukweli wanafanya vizuri hilo halina ubishi japo wanatakiwa kurekebisha baadhi ya mambo ninaamini na wao wanapitia mitandao hii kuona comments fanya constructive critisicm yako naamini wana uongozi na watayafanyia kazi maoni yako. Acheni fitna wabongo bwanaa nomaaaa.