Tuzo Za KORA zimefia Wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzo Za KORA zimefia Wapi?

Discussion in 'Entertainment' started by Revolutionary, May 13, 2011.

 1. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani Najua mnakumbuka tuzo za Kora namna zilivyotupa sifa sisi Africa, Sasa sioni tuzo yoyote ya sanaa ya muziki ambayo ni Pan African, inayohusisha afrika nzima!

  Tuzo za kora zilifia wapi na sababu ni nini!?

  Kwa anayejua tujuzane!
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wanaigeria waliziingilia na kuzifisadi!

  Kwenye mtandao wao kuna hii habari:
  Coming after protests from many African artists, political leaders and our licensees in various African countries, requesting the moving around of the Pan-African awards ceremony, we, the organizers have decided to move the event from South Africa where it has been staged for ten years to Nigeria.

  Zaidi unaweza kufuatilia Kora Awards hapa:
  Kora Awards
   
 3. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haaa haaa umenichekesha mkuu! asante kwa link, unaweza kuhisi maneno yako ni masihara kumbe ni kweli!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I thought i was the only one anaejiuliza... Dah! naona Askari Kanzu kamaliza...
   
Loading...