Tuzo za awamu ya nne


MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
29
Points
135

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 29 135
Awamu ya nne ndiyo hiyo imeisha. Katika michezo(inabidi nitumie mfano huu) kila msimu ukiisha kuna tuzo mbali mbali wattu hupewa. Saa nyingine pia hata wale waliyo fanya vibaya wana kuwa na tuzo za ubaya. Je kwa awamu hii ya nne nani...

Most Valuable Player(MVP)- Mtu ambae amekua outstanding awamu hii na amefanya mengi mazuri.

Least Valuable Player(LVP)- Kiongozi aliye fanya ovyo kuliko wote.

Rookie- Mwanasiasa chipukizi au wa mara ya kwanza(awe mzee au kijana) ambae ame nga'ra na kuonyesha matumaini makubwa kwa Watanzania.

Most Improved- Mwanasiasa ambae amekuwepo kwa muda na kaonyesha kukua na kukomaa zaidi kisiasa.

Least Improved. Ambae ame dorora na kufanya vibaya zaidi

Biggest dissapointment- Huyu awe mtu ambae mengi yali tegemewa kutoka kwake lakini akaishia kutuangusha.

One to look out for- Huyu awe mwanasiasa ambae unategemea ata nga'ra sana kipindi kijacho. Iwe tayari ni kiongozi au ana tarajia kugombea uongozi.

Haya kamani wana JF kazi kwenu.
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
14,025
Likes
7,991
Points
280

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
14,025 7,991 280
..wote wanaangukia kwenye category ya biggest disspointment.

..yaani kwa mwaka awamu hii hizi categories nyingine inabidi tuzifute kwasababu hakuna anaye-qualify.
 

Forum statistics

Threads 1,203,884
Members 457,010
Posts 28,133,346