Tuyatafakari maneno haya mazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuyatafakari maneno haya mazito

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Aug 9, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  "serikali corrupt huwa
  inawaogopa wafanyabiashara, serikali
  corrupt huwa haikusanyi kodi bali
  huwaonea wafanyabiashara wadogo
  wadogo, wale wakubwa inawaacha na
  hata ikiwaambia wanasema ah
  atatufanya nini huyu?"
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Maneno haya ni ya MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Wauza mafuta ndio walio iweka serikali ya kikwete madarakani.
   
Loading...