Tuyaache kwanza ya kina zito...hebu tujikumbushe filamu ya kapuya..!

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
hivi lile sakata la huyu jamaa na tuhuma zinazomkabili limeishia wapi..?
kwa mwenye taarifa mpya atujuze..!
 
No hili sio la kuacha lipite tu tutafuatilia mpaka tujue mwisho wake. Kova akiitisha mkutano na waandishi ili liwe swali la kwanza.

Tiba
 
Hilo songi lilishachuja... sasa kuna singo mpya ya Zzk na Cdm
 
2015 all files will be retrieved!!!!!!!

Natumai watu wa kumbukumbu wanaweka back-up files; kama sio mahakamani basi hata majukwaani!!!!!!

Wenye mtu wao watachagua nini bora kwa future yao!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…