Tuyaache kwanza ya kina zito...hebu tujikumbushe filamu ya kapuya..!

No hili sio la kuacha lipite tu tutafuatilia mpaka tujue mwisho wake. Kova akiitisha mkutano na waandishi ili liwe swali la kwanza.

Tiba
 
Hilo songi lilishachuja... sasa kuna singo mpya ya Zzk na Cdm
 
2015 all files will be retrieved!!!!!!!

Natumai watu wa kumbukumbu wanaweka back-up files; kama sio mahakamani basi hata majukwaani!!!!!!

Wenye mtu wao watachagua nini bora kwa future yao!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom