Tuyaache kwanza ya kina zito...hebu tujikumbushe filamu ya kapuya..!


F

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
79
Likes
1
Points
0
F

Fundifundisho

Member
Joined Jan 11, 2011
79 1 0
hivi lile sakata la huyu jamaa na tuhuma zinazomkabili limeishia wapi..?
kwa mwenye taarifa mpya atujuze..!
 
M

mugajamii

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
868
Likes
109
Points
60
M

mugajamii

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
868 109 60
Yuko kwenye mfungo issue isahaulike wewe unataka kuiibua tena?
 
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
1,419
Likes
890
Points
280
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
1,419 890 280
hivi hadi humu jf watu ni wasahaulifu hivi??? kweli tz nchi ya upepo...... utapitaa tuu
 
Tiba

Tiba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2008
Messages
4,525
Likes
148
Points
160
Tiba

Tiba

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2008
4,525 148 160
No hili sio la kuacha lipite tu tutafuatilia mpaka tujue mwisho wake. Kova akiitisha mkutano na waandishi ili liwe swali la kwanza.

Tiba
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,958
Likes
338
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,958 338 180
Hilo songi lilishachuja... sasa kuna singo mpya ya Zzk na Cdm
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
ila hilo jina lako mleta mada nashindwa kuelewa aliyekupa alikusudia nini
 
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,755
Likes
14
Points
135
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,755 14 135
duh. mkuu! walisema wanamsubiri air port cjui ajarundi mpk leo?
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,836
Likes
5,197
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,836 5,197 280
ngoja sehemu ya pili...
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
2015 all files will be retrieved!!!!!!!

Natumai watu wa kumbukumbu wanaweka back-up files; kama sio mahakamani basi hata majukwaani!!!!!!

Wenye mtu wao watachagua nini bora kwa future yao!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,250,722
Members 481,468
Posts 29,743,261