macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,470
- 61,331
Uko sahihi kabisa. Mimi nikiwa Dar, salaam marufuku, ''naomba kuuliza'' nayo ni marufuku. Sitaki mazoea na mtu yoyote.Huo uwizi wa kitambo sana hapo Dar , kawaida Dar hata salamu achana nazo ...Utakuja kupata matatizo ukipenda kitonga.