hapa wazee wazima lazima walikuwa wamearibu kazi maana cyo kwa mshangao huo aliotoa mzee mkapa
ADOLF HITLER
Yule shabani aliekuwa anachekesha mtaani ss hv yupo ZECOMEDY SHOW EATV siku ya jumamosi saa 12:30 jion kipindi chao
Huyo hakua "uchwara" kama wengine. Og yenyewe.Huyu dikteta tangu kuzaliwa aisee
Winie alikuwa mzuri balaa... iyo ni mwaka gani mkuu??
hahahaha kweli msela katoka mbalii, uyo ni mama au bibi ake mkuu.
hahaha umejuaje mkuu..kama mimi vile, nimeshaona wapi nimepangiwa.
hahaha hahaha uyu msela banaa duh...nikicheki clip zake huwa nacheka tuu
Winie alikuwa mzuri balaa... iyo ni mwaka gani mkuu??
Thanks muanzisha huu uzi na Thanks kwa wote mlio share picha kwenye hii thread,inapendeza sana na inavuta hisia kuangalia picha za zamani.
Hiyo picha ya mwisho ni Rihana!!? Kweli nimeamini hakuna demu mbaya akiwa anaogelea kwenye pesa!!!