Hii umetudanganya mkuuView attachment 379678 The world cup 1930.
Ni kweli mkuu kama huamini nenda Google andika world cup 1930Hii umetudanganya mkuu
good memories
aisee kwashakoo haiwezi kuififisha nyota!View attachment 376828 Rais wa Gabon Ali Bongo ..
Mwanaume Wa kweli lazima update kitu cha kutuliza kichwa baada ya kazi za kutwa
Dah kumbe hii style ya ndevu akina messi wameiga kwa jamaaUnafiki tu unawasumbueni,kwanini hamuweki picha za Lowassa za zamani kama hao wengine?
Hii hapa basi...View attachment 373693
dah hongera sana mkuu kwa kutupatia kumbukumbu nzuri ..mwaka huo babu yetu Mandela alifunga ndoa na Winie binti mrembo hahaha; ila mabinti wa zamani walikuwa warembo sana ..wa sasa ivi wamechakachulika mnooNelson Mandelana Winnie Madikizela-Mandela siku ya harusi yao mwaka 1958
Sasa huoni kwamba sasa hivi ndio kawa mbaya,kuliko hiyo picha ya mwanzo?.Hiyo picha ya mwisho ni Rihana!!? Kweli nimeamini hakuna demu mbaya akiwa anaogelea kwenye pesa!!!
Ok. Tuna macho tofauti. Mimi naona ni mzuri sanaSasa huoni kwamba sasa hivi ndio kawa mbaya,kuliko hiyo picha ya mwanzo?.