Tuwekee picha za zamani hapa, mi naanza hivyo

1471635504815.jpg

Acha kabisa hii rival hapa watu wangu wa nguvu...back in time nakuambia hapo mamtoni niko club moja unaambiwa dj anachukua mic then anasema kwa saut kubwa ..."all motherfkn east side come this side and all mthrfkn westside come to this side" yan hapo tunagawanyika ...then zinaanza kupigwa track za kila upande wa tupac na upande wa big...balaa acha kabisa wakat huo early 90's ndo bifu limekua very hot ...na ndo hit em' up track ilikua realeased .....hahaaha aiseeee...old school fellas ..
 
View attachment 384353

Hiyo club ilikua unaitwaje, husije kukuta tulikua wote ila tukawa tunaishia kupigana vikumbo, mi nilikua West side, 72nd Street Hudson pack way, na wana akina pis nigga fu**, trigger, na dem moja jina limenitoka ndio ilikua crew inasimamisha kijimtaa.

daaah i always feel good to meet with my old school fellas....it was interesting back then ingawa violence was intense sana...mkuu mm nlikua mpiga misele sana...so sana sana nlikua nipo maeneo ya east side of south L.A karib na east adams blvd na 29th street kati ya hooper na griffith, kulikua na gangs achatu kama the east side trece na rollin outlaws akina dukes, locos akina trouble maker klick na gang nyimgine brownside akina toker wicked na danger aiseee...sometimes jamaa walikua wanatembea katikati ya barabara
 
Mmmm! Kiukweli ukaribu wa lowasa na Jakaya ni wa muda mrefu tungekuwa tuna system ya ufalme ilikuwa ni hake yake kupewa.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom