Wambie wakulipe hizohizoYaani tusiopenda ugomvu tunaumizwa Sana Kuna majirani wa2 walibomokewa na nyumba mvua ya mwaka jana,wakaja kuomba tofali wajistiri,kwa utuwangu nikawapa mmoja tofali mia900 Mwingine tofali 400 kwa ahadi ya kurejesha may na July mwaka 2020.Kilichotokea hawaja rejesha na wa Mia 900 anadai alizochukua ziilikuwa mia7, wa Mia 400 anadai zilikuwa mia2 na 4.kama SI ukorofi Ni Nini mkuu.UZURI TULIANDIKIANA NA NILIWAREKODI KTK MAKUBALIANO!
Jirani yangu wa upande mwingine alikula kama futi mbili kwangu halafu kajenga kuanzia hapo! Nikamfahisha kosa lake nikachuna,baadae akaanza kujenga tena usawa ule ule. Nikamwambia nimekuachia mwanzo sasa umehalalisha nitabomoa majengo yote la zamani na hili jipya rudi nyuma jengo jipya usijenge ndani tena. Akatii. Kesho yake nikanunua matofali nikajenga ukuta nusu futi kutoka jengo lake hata paka hapiti.
Mkuu watalipa zote hawa sio Kama Ni wazee au hawana uwezo la hasha wanafanya kusudi kukomoaWambie wakulipe hizohizo
Wengine Ni mazoea wengine Ni urithiChanzo cha tabia ya kuomba omba huwa ni nini ?
Hahaa hapana boss..kulikoni chanika bossUnakaa chanika...wewe..enhh?
Ushawahi kuwa na girlfriend, kila akija kukutembelea lazima aombe kitu au achukue kitu ?Wengine Ni mazoea wengine Ni urithi
Inategemea anachukua Nini au anaondoka na Nini labda uniambie Aina ya vitu au vifaa anavyoomba au kuondoka navyo nitakujuza Kama Ni mazoea au urithi au tamaa tuuUshawahi kuwa na girlfriend, kila akija kukutembelea lazima aombe kitu au achukue kitu ?
Vitu kama nguo, mafuta ya kupakaInategemea anachukua Nini au anaondoka na Nini labda uniambie Aina ya vitu au vifaa anavyoomba au kuondoka navyo nitakujuza Kama Ni mazoea au urithi au tamaa tuu
vp imekuaj..!?nililewa kwakua milango yetu inafata nkajkuta nmelala seblen kwake et akamaind mpaka leo atusemeshan nangoja mkesha wa pasaka nilewe nkanye mlangon kwake
Wanyakyusa wanawake ukipakana nao ni balaa dah,nina jirani zangu kama wawili wamama wa Kinyakyusa wanatusumbua sanaMpaka nimeogopa nimezungukwa na wahaya na wanyakyusa wagombania ardhi
Haya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!Mkuu watalipa zote hawa sio Kama Ni wazee au hawana uwezo la hasha wanafanya kusudi kukomoa
Mademu wa buza wakija geto wanabeba Hata mboga , au wanachota mchele yaan kero tupu,Ushawahi kuwa na girlfriend, kila akija kukutembelea lazima aombe kitu au achukue kitu ?
Duh hao watatizo la kujiendekeza tu kama asilimia kubwa ya mademu wa buza wanatabia hizoMademu wa buza wakija geto wanabeba Hata mboga , au wanachota mchele yaan kero tupu,
Maziwa ya unga wanafunga kwenye nylon fundo wanabeba, CD n.k
Mkuu watazoea.mi nasomesha ujue wao wanakula Bata TU halafu kwakuwa Ni MIDUME siisamehi.NAJUA LA KUWAFANYA WALIPE TENA MWISHONI MWA MWEZI HUUHaya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!
Ushauri wangu wambie wakulipe hizo hizo wanazosema wao halafu endelea na mambo yako
Mkuu watazoea.mi nasomesha ujue wao wanakula Bata TU halafi kwakuwa Ni MIDUME siisamehi.NAJUA LA KUWAFANYA WALIPE TENA MWISHONI MWA MWEZI HUUHaya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!
Ushauri wangu wambie wakulipe hizo hizo wanazosema wao halafu endelea na mambo yako