Tuweke jumbe za Mabango ya Mei Mosi 2018 hapa

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,178
Haya haya !!
Mei mosi siku ya wafanyakazi imewadia.....

Kuna mabango mengine ambayo "si rahisi" ama ni vigumu kupita nayo kwa mheshimiwa...ama pia si rahisi kuonekana...

Hivyo kupitia hapa "where we dare to talk openly"

Weka bango lako kiroho Safi...

Mimi naanza..

"Zoezi la kupelekwa primary kwa walimu wa sekondari ni uhuni mkubwa"

"Walimu wote wanastahili posho...wasibaguliwe"

"Bado serikali ya viwanda haijafaidisha wafanyakazi"

Haya karibuni
 
Subiri Mei Mosi ipite nitaweka bango langu
 
HAPA KAZI TU
FB_IMG_1525103398161.jpg
 
Back
Top Bottom