Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,296
"Shusheni mabango yenu wala siyasomi mkayapeleke kwa wake zenu"
Utakua diaspora wewe,hali ngumu ya maisha na wizi wa waziwazi wa serikali
By the way;hali ngumu ya maisha na wizi wa waziwazi wa serikali
Hukumsikia CAG pale IKULU?trilioni 1.5
Basi pole sana,utakua ulkua umezoea sana za mkatomimi naishi tandale kwa bi nyau,hiyo diaspora labda wewe
Aisee;trilioni 1.5
Soma tena;hahaaa ni kweli mkuu,mi sijasoma sana,nillishia darasa la pili,umri umekwenda sioni kama nitaelewa kitu nikirudi shule mukuu
Mhutu rudi kwenu
Yaan mkuu;hahahaaaaaa mbavu zangu mkuu,huyo masoud kipanya atatuua
Yani akifanya hivi taifa litalipuka kwa furaha ila kwa jeuri haweziSubirini surprise kesho ya posho kila katikati ya mwezi..save my words!
Update....Yani akifanya hivi taifa litalipuka kwa furaha ila kwa jeuri hawezi