Lol polee dear..ulipatwa na Ussshuunggguu sana Ndiomana uliliaa!Hakuwa mmubebez mwaya.
Baada ya kusoma ujumbe wake nilicheka sana(Sijui kwanini)nilifurahi sana….nikalia sanaaaa..halafu nikajifungia ndani nikalewa Sanaa mpka nikazima.nakuja kustuka mlango unagongwa kama unataka kuvunjwa.
Sijui kwanini siku ile nilikumbwa na ile hali.ninajiuliza mpka sasa sipati jibu
Huu upweke wa ******* kishenzi mbona leo haupo..mxiuuuuuuUpweke cute
Kuwa mpole mama 😀😀Kama unaniuliza hapa niulize,kama unaniulizia huko chimbo unakokusema tafadhali niulize
1. Shikamoo ni heshima tu regardless yr age...kwa upande wanguKwanza umenizeesha
Pili umeniita dada..
Ndugu mwanajf mwenzangu hivi ni vikwazo
😁
Hongera ya nini?Good, hongera sana
Kwenye mishipa ya damu imejaa mpenzi rafiki..unaokutana nao wanataka fyafyaa..so unaona hamuwezani unaamua kuendelea kupenda wali ndondocapuLol polee dear..ulipatwa na Ussshuunggguu sana Ndiomana uliliaa!
All in all Mungu ni mwema na hutuletea watu sahihi kwa Wakati wake tusilaumu sana!!
Mapenzi matamu sana ukipata mpenzi rafiki 😍!!
Kuwa na afya njema, unadhani ni jambo dogo?!Hongera ya nini?
Kila mtu hapo anapata kwa kiasi anachostahili. Nawapenda woteHiyo love unaweza elekeza hata Kwa wazazi, ndugu jamaa na marafiki
Kweli ni jambo kubwa nashukuru. Hongera na weweKuwa na afya njema, unadhani ni jambo dogo?!
🤣🤣🤣🤣!! Fyafyafyaaa!Kwenye mishipa ya damu imejaa mpenzi rafiki..unaokutana nao wanataka fyafyaa..so unaona hamuwezani unaamua kuendelea kupenda wali ndondocapu
Asubuhi asubuhi na uzi wa sifa, itakua baharia mwenzetu katuwakilisha vema jana usiku, kitu ilichakatwa ile ile.Yaan kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenz) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna.Yaan hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me kuna mwenzio yupo. Achana na huyo kivuruge asiyeeleweka ila mwenzio wa kukutuliza nafsi yupo.
Baba ni baba tu, mkaka ni mkaka tu, yaan mwanaume ni mwanaume tu. Wanaume mnaoheshimu hisia za wanawake, muwe na maisha marefu.🙏
Glenn Kwan majina yenye mchanganyiko wa sukari na chumvi yamekata..😆😆😆1. Shikamoo ni heshima tu regardless yr age...kwa upande wangu
2. Dada...wewe ni wa kike waweza kuwa dada, mpenzi hata mama
Hadi hapo sina kosa rafiki