Tuwe Serious Kidogo...

Tuwe Serious Kidogo...

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,797
Reaction score
129,627
Huyu mtu alieweka hiki kibao atakuwa amelipwa hela kwa kazi hii na aliemlipa alitakiwa akague sasa sijui hiki kibao kimegeuzwa na upepo? Kipo mtaa wa Ohio Dar.
IMG_20171208_082547.jpg


Hiki Kibao kuna nati moja ya juu imechomoka. Lakini inabidi tuwe serious maanake kimekaa hivyo hivyo muda mrefu sana mpaka mtu unaweza kudhani ndio design yake.
 
Sidhan kama hilo ni lengo lako. Lengo lako nahic ni kuwa upo ndan ya mchuma na unataka watu waseme. Boy unapenda attention
Duh haya mkuu...
 
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
Nimetumia lugha as if sijui kwanini ila najua kwanini kiko hivyo. Hamna screw iliong'oka wamekiweka upside down sijui lengo lao, huwa napita hapo kila asubuhi, nitaleta picha ya karibu.
 
Back
Top Bottom