Tuwe makini na vioo

Jamaa yuko safarini anamtumia mkewe picha hii na kumwambia:Nimeshukia kwenye hoteli moja ovyoovyo, niko mwenyewe baby yaani nimekumiss ile mbaya yaani.
(hebu fikiria atakalowaza huyo mke)
Kwa Maelezo haya hata kama hajaonekana huyo mpigaji Ni lazima uulize nan kakupiga
 
hujawahi kuwaona tangu uzaliwe?
Mhhh...am a kweli....hata uone papuchi million utatamani uendelee kuziona hata zifike zillion mana kuna zenye masikio mpaka mashavu...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
pumbav sasa hapo umejisahau mwenyewe umepost fb alaf familia na mkeo.wameona mbna utaiona dunia inavyokuja kibidubidu
 
Was this intentional!?? Or accidental!??
 
Kwa mbwebwe mwenyew unatuma kweny group LA family πŸ™‚
 
Unamtumia mkeo Bby nimefika Hotel nashukuru Mungu safari ilikuwa nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…