Tuwe makini katika kuchagua

Tuwe makini katika kuchagua

ha ha ha ha tutajuaje sasa kuwa ni mtu sahihi
Kwa sasa Ni ngumu zamani ilikua kabla hujaolewa familia ya mume/mke inachunguzwa na details zote zinaletwa Kama status ya famila/magonjwa/akili/tabia nk ndouolewe/uoe ila sikuizi tunatongozana kwenye bus meetn guest bubu then ndoa mimba inafata or vice versa sasa skilizia mtoto atakavyosumbua
 
ha ha ha umeeleweka
 
kwamfano ukiepuka kuoa/kuolewa kwenye familia yenye matatizo ya kiakili,unakuwa umesalimika
Unajua kuna mambo hujificha ndani ya damu...? Huwepo kweny ukoo na hayaonekani ila huweza kuibuka baadae kwa watoto watakaozaliwa...

Jambo kubwa ni kumtumainia Mungu tu...
 
Kuzaa ni jambo muhimu sana...cha muhimu ni kuangalia unazaa na nani;kuna wengine ni vichwa box....usipokuwa nao makini wanaweza wakawaambukiza watoto wakawa mambumbumbu.Ndio maana watoto wanatofautiana vipaji na uelewa(darasani kuna wa kwanza na wa mwisho).Kwa hiyo nashauri tuwe makini katika kuchaguwa wapi pa kuweka mbegu zetu.
View attachment 1131050
Nikweli kabisa,
Ila kama hujaoa au kuolewa pls usijekujiona kuwa mjanja na ukajifanya kuwa utakachochagua ndio bora sana.
Laiti kama M.MUNGU angelitupa maono makubwa ya kujua ya mbeleni,wala tusingefanya makosa.elewa makosa yapo kwa ajili yetu ili tujifunze, kuna siri kubwa ambayo mimi nawewe hatuijuwi. Yapo makabila hasa wanadada ambao uwa hata kama ukimwoa awezi kuzalia watoto wote,yaani kama una watoto wawili basi mmoja sio wako,
Huwa wanaamini kuwa ukizaa na wanaume tofauti huwa inasaidia ktk masuala ya akili,mikosi na mafanikio.maana yake kama utatokea mkosi basi usiwapate watoto wote maana damu sio moja,na kama umbumbumbu basi usiwapate wote. Nakukumbusha tyu ariff, hakuna anayependa hasara maishani,ila hutokeaga tu.
 
Ni kweli mkuu...
 
Kwakweli tu, tuchague yupi wa kupokea mbegu zake maana wengine ni nuksi.
 
Kwa kweli hata mimi kuliko kupata baba kama wewe ni bora nisizaliwe kabisa
 
Lala tu kwa kweli maana naona akili za usiku zimeshaanza kukufanya uwaze mambo ya ajabu
Nabaki kusema tuwe makini sana kwani mke mwema anatoka duniani na si kwa Mungu
 
Kuzaa ni jambo muhimu sana...cha muhimu ni kuangalia unazaa na nani;kuna wengine ni vichwa box....usipokuwa nao makini wanaweza wakawaambukiza watoto wakawa mambumbumbu.Ndio maana watoto wanatofautiana vipaji na uelewa(darasani kuna wa kwanza na wa mwisho).Kwa hiyo nashauri tuwe makini katika kuchaguwa wapi pa kuweka mbegu zetu.
View attachment 1131050
kunywa Jack Daniels hapo five star hotel nakuja kulipa
 
Back
Top Bottom