Tuwe makin na wezi wa mchana

Halafu Ni Nguvu Kazi Ya Taifa (Ana Nguvu Tele)
Hawa Ndiyo Wale Jpm Aliosema Kamata Shika Peleka Kwa Nguvu Kwenye Mashamba Huko
Wakirudi Watakuwa Wameshajizoelea Kuwa
Asiyefanya Kazi Asile.
 
duhhh!!! hiyo nguvu kazi alotumia hadi kuvunja ukuta kuingia ndani na kutoka, kama angejitahidi namna hiyo kufanya kazi za halali hivi sasa angekuwa na utajiri wa TRUMP
kiubinadamu kazi aliyoifanya ni kubwa ilibidi wamuachie hiyo tv
 
najiuliza aliyechukua hii muvu yote ana moyo mkuu
 
Hv hlo tund kweli ndo imepita hyo tv hapo nmeangalia mara mbili mbili hebu semeni na nyie
 
Jamaa atapigwa hadi afe kwa wizi wa TV ila kuna watu wanaiba hela za maafa na ulinzi wa polisi wanapewa!
 
Lazima alikuwa na wenzake ambao wamefanikiwa kukimbia.

Yeye mwenye gundu ndio ameisha.

Hiyo sio kazi ya Mtu mmoja
 
duhhh!!! hiyo nguvu kazi alotumia hadi kuvunja ukuta kuingia ndani na kutoka, kama angejitahidi namna hiyo kufanya kazi za halali hivi sasa angekuwa na utajiri wa TRUMP
Kweli kabisa ndugu akili za watu bana hawajiongezi hata kidogo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…